Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ex wako na familia yao wanakutengenezea mazingira ya kuja kuolewa bi mdogo.

Tena inaonekana wewe ni mwanamke unayejiweza kiuchumi ndio maana hawataki kukuacha uende. Eti anasema akikwama atakucheki, mjinga kweli anakuona wewe buzi lake.

Move on dear, block takataka zote fanya maisha yako.
Kuhusu pesa nilimzidi kiasi mm nimekuwa na biasharayangu tangu nikiwa na miaka 22 lkn sikuwahi kumpa pesa lkn ushauri ni kitu kikubwa nilivokuwa nimewekeza kwake nilikuwa Nampa ushauri vitu vya maana na vingi vinenyooka ila x wake alikuwa anatoa pesa kias had Sasa zinafika milion nakitu alisema mwenyew bhana kachagua Hela Hela 😂😂😂
Pia kifamilia ni upendo tu Ile

kuwakimbilia wakat wa huzuni na furaha pesa hmna na nilishasema simpi Hela mwanaume mwenyew nazitafuta Kwa shida sana
 
Bora umesema ukweli kuwa una hasira...maana kunwagwa sio mchezo🤣🤣🤣🤣🤣
Hajawah niambia tuachane nimeamua mwenyew siwez kuvumilia usalit hajawah niambia tuachane hata I'll suala alikuwa anaficha na anakataa na huyo mwanamke nikamfat nilipopata uhakika nikaamua nikaachna nae
 
Lakini sii hapo nimeona kuwa nyie ni muslims...sasa kwani shida iko wapi ukiwa kama mke wa pili🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom