[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatari sana![emoji23] We hujawah ona mtu anatoa ushauri wa kujenga kwa mwenzake wakati kwake kunabomoka na hana habari [emoji1787]
🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️Nyooo...ebu mtingishie mwanaume mwengine tako lako mbele ya mumeo uone kitakachotokea
Sure, ila kuna mahala hii manzi ilikuwa inazingua hapa watu wanasikia upande mmoja tu, ila hii pisi nayo kuna sehemu ilikuwa na matatizo piaComment km hizi ni kumtafutia comfort lakini ukweli anaujua, kaachana na boyfriend wakati umri umeenda, so the odds of her not being a loser are against her.
Kwa nie jiwe🤣🤣🤣🤣🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️
Najuaja hamnaga wivu kabisa asee!!
🤣🤣🤣🤣🤣 Mwenzenu bado anapendaSi ubadili namba.
Kwa hiyo wee mume wako hakuoni wivu🤔🤔🤔🤔Siaminiiii kama mnaonaga wivuuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Ananiambiaga nijikanyage siku ndio nitajua sijui😁😁🤣Kwa hiyo wee mume wako hakuoni wivu🤔🤔🤔🤔
Basi upo kwenye mapenzi ya ajabu sana
Nimekusoma kwa makini kabisa, na nimegundua haya:Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.
Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.
Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
Wee jidai kama male best frend wako kakosea kutuma text aseme tuu nimekumiss mpenzi alafu iache simu kimakusudi mume aone text kama hujaja hapa kutuomba jinsi ya kumrudisha mume🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Ananiambiaga nijikanyage siku ndio nitajua sijui😁😁🤣
🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🤣🤣🤣😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wee jidai kama male best frend wako kakosea kutuma text aseme tuu nimekumiss mpenzi alafu iache simu kimakusudi mume aone text kama hujaja hapa kutuomba jinsi ya kumrudisha mume
Ukweli kabisa huyu sophy anatuenjoy hapa huyu mwanaume anampenda sema mzeya umeongea bonge la point....jamaa anapenda uchakarikaji wa sophy ila sexual attraction ipo kwa huyo mwengine.Nimekusoma kwa makini kabisa, na nimegundua haya:
1: Wewe bado unampenda sana huyo mwanaume, na bado hujaamini yaliyotokea. Bado una tegemeo kuwa kuna siku atabadili mawazo, aje akuombe radhi ili mlirudiane.
2. Huyo mwanaume ''anakupenda'' kwa sababu ya uchakarikaji wako, haiba yako na nidhamu yako lakini humvutii sana kimwili/kimapenzi. Kimapenzi bado yuko kwa huyo wa kwanza. Wewe anaendelea kukung'ang'ania kwa sababu ya sifa nilizozisema, na anapata wakati mgumu kuchagua ama awe na mwanamke asiyemvutia kimwili lakini mtii na mchapakazi au anayemvutia kimwili lakini hana sifa kama zako.
3. Hili suala lako wala siyo la kupewa ushauri kwani jibu liko wazi. i.e. achana naye kwani hakufai na ukiendelea kung'ang'ania utakuja juta siku moja. Infact una bahati sana kwani hamkufanya maamuzi ya kuoana kwa haraka hivyo umepata muda wa kujua ''rangi zake'' halisi. Niseme tu una bahati sana na huenda ni Mungu anayekuongoza ili ukwepe kukumbana na maisha ya ndoa ya mateso siku sijazo, hivyo tumia hii fursa kikamilifu. Usicheke na kima. Nina uhakika kabisa mwanamke kama hamtaki mwanaume ana uwezo mkubwa sana wa kumwambia HAPANA na mwanaume akakaa mbali naye.
Kabisaaaa!!Sasa unamjibugi wa nini. Mtu usipomjibu mwezi au miwili atajua upo serious. Unapomjibu anajua chance ipo.
😂😂😂😂DahUkweli kabisa huyu sophy anatuenjoy hapa huyu mwanaume anampenda sema mzeya umeongea bonge la point....jamaa anapenda uchakarikaji wa sophy ila sexual attraction ipo kwa huyo mwengine.
Kifupi ni kwamba jamaa kapenda lyrics lakini sio melody🤣🤣🤣🤣🤣
B😂😂😂😂Dah
Blue if you come backWimbo wa nani huu mkuu?
Kila mtu kaongea the way anahis sahihi ila nilichopenda kuwa mmesema ukweli naujua so hata nijieelezee sana ukweli naujua simuhutaji lkn wakat huu labda ni mazoea ndo yananitesa lkn sio mapenz Kam mnavyosema yangekuwa mapenz nisingemblock na ninanafas nzuri hata ya kuwa nae ila siwez vumilia maumivuWee bado unampenda na unataka kupindua meza
B
Ananipenda sana ila mm ndo nimeshindwa kuvumilia maumivu tinatofautiana mioyo rafikiyangu na hata huyo alomrudia inaweza kuwa umbali pia ndo sabbu au weakness ndogondogo za kibinadamu lakni Mimi ndo nimeshindwa sijaiweza kuhandle maumivuNimekusoma kwa makini kabisa, na nimegundua haya: