Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Sina huo mda aiseee kuanza kugombania wanaume
Sasa mbona una muda wakumuanzishia thread hapa🤣🤣🤣🤣 huu muda ungeweeka kwenye kumgomba ia angekuwa wako saa hii unapelekewa moto tuu na kuenjoy mapenzi.

Narudia tena usiwasikilize wakina Kelsea na Mahondaw ...wenzio usubuhi walishapigwa na de libolo na usiku baada ya prika za kukudanganya hapa jf watatuliza fuvu kwenye garden love za waume zao
 
Ananipenda sana ila mm ndo nimeshindwa kuvumilia maumivu tinatofautiana mioyo rafikiyangu na hata huyo alomrudia inaweza kuwa umbali pia ndo sabbu au weakness ndogondogo za kibinadamu lakni Mimi ndo nimeshindwa sijaiweza kuhandle maumivu
Kwa kifupi ni hivi. Wewe unadhani anakupenda sana, lakini ukweli hakupendi sana ila wewe ndiwe unayempenda sana. Mwanamme akimpenda sana mwanamke, hawezi kumwacha na kuanza uhusiano na mwanamke mwingine. Na hata kama akipotoka, ikijulikana basi atakata mahusiano mara moja ili asimpoteze yule aliyempenda. Kama kweli tatizo lako siyo la kutunga ili kufuarahisha forum, basi kuna siku utakuja kung'amua ukweli.
 
Sawa lakn nahis Bado Nina nafas ya kuanza upya nimepokea ushauri wako 🙏
 
Sasa mbona una muda wakumuanzishia thread hapa🤣🤣🤣🤣 huu muda ungeweeka kwenye kumgomba ia angekuwa wako saa hii unapelekewa moto tuu na kuenjoy mapenzi.

Narudia tena usiwasikilize wakina Kelsea na Mahondaw ...wenzio usubuhi walishapigwa na de libolo na usiku baada ya prika za kukudanganya hapa jf watatuliza fuvu kwenye garden love za waume zao
Sawa
 
Nimekuelewa ila kiasili Sio muongeaji Sana na huwa Niko cool Sana nimeandika Uzi sabbu ya kitu kilishatokea na nitamni matokeo chanya

of course nimeongea najisikia nafuu kwenye nafs yangu na reaction zote nimepokea mbaya na nzuri pia ila Kuna watu Wana hekima sana 🥰
 
Sawa lakn nahis Bado Nina nafas ya kuanza upya nimepokea ushauri wako 🙏
Anza upya ila uninga wa kidate mwanaume miaka mitatu huku mkiwa long distance achana nayo. Kuwa na mwanaume benet
 
Kila mtu ana love story haziwez fanana uwe karibu uwe mbali km ni furaha itakuwepo km ni maumivu hayaepukiki muhimu kilamtu anamapito yake ambayo lazima apitie
 
Acha kumjibu.. hata akitumia namba mpya..

Ukiona ni sms zinatoka kwao, on the spot futa.

Ila hizo sms ndefu unazomwandikia/ mjibu inaonyesha hujamove on completely.
 
Usilete tamthilia za kichina hapa bongo itakula kwako
 
Acha kumjibu.. hata akitumia namba mpya..

Ukiona ni sms zinatoka kwao, on the spot futa.

Ila hizo sms ndefu unazomwandikia/ mjibu inaonyesha hujamove on completely.
Jamani nyie de libolo tamu
 
Pole sana aloo ila sikia nikwambie sio lazima uwakatie malimao nduguze kwa mara moja, cha kufanya wakaushie in time wataacha usiwajibu wala kuwaentertain wakina kimya wataacha and sahau kuhusu huyo jamaa hana ishu apo anachotaka sio ukaribu tu na wewe anataka kuwa na extra k ya bure kule anapiga na kwako akijiskia anapiga. So acha kungangania past move on kipenzi usikubali kuwa kipoozeo wakati uliwahi kuwa mmiliki
 
Ananipenda sana ila mm ndo nimeshindwa kuvumilia maumivu tinatofautiana mioyo rafikiyangu na hata huyo alomrudia inaweza kuwa umbali pia ndo sabbu au weakness ndogondogo za kibinadamu lakni Mimi ndo nimeshindwa sijaiweza kuhandle maumivu
Mwanaume anayekupenda hawezi kukupa maumivu siku zote atapamba uwe na furaha.
 
Back
Top Bottom