Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ukipata aliyekuzidi kipato shikilia hapo hapo ilimradi utelezi unapata....maana mapenzi ni kizungumkuti tu ,hata tuliowazidi kipato wanatupasua vichwa.
Mwanamke akikuzidi mkwanja jiandae labda awe anajitambua sana vinginevyo utapasuka. Alafu wanaume mna ile kujihami mkipishana padogo utaskia sababu ana hela ndio mana ananidharau yaan hata kama hudharauliki ila wengi huwa mnatafsiri hivyo na mabalaa ndio yaanza hapo.
 
Wee acha tu sijui tunakuwa vichwa tumepeleka wapi sijui ni ile unajifanya unavuta subira kumbe mwenzio ana lake kichwani 🀣
Aiseee....balaaa. au utamu unawachanganya sana unawaza nikimuacha huyu kumpata mwengine wakukojoza itakuwa shughuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…