Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Sijui Nani kaninganyanga Hilo tunda langu[emoji22]
 
Moja ya wanaume ninao waonaga ni mabwege ni wanaume wa sampuli hiii.

Yaani mwanaume yoyote anae haribu mitego ya mwenzie kwenye kudaka mbususu ni bwege anae karibia kuwa shoga.

Bro tangaza sera zako ukubaliwe ....punguza umama
Mkuu,
Ukimchukulia Sana serious mzabzab utajipa tabu Sana, huyo jamaa masihara mengi[emoji28]
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
Usipojifunza utafunzwa ila duniani usipojitunza hakuna atakayekutunza
 
Back
Top Bottom