Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Moja ya wanaume ninao waonaga ni mabwege ni wanaume wa sampuli hiii.
Yaani mwanaume yoyote anae haribu mitego ya mwenzie kwenye kudaka mbususu ni bwege anae karibia kuwa shoga.
Bro tangaza sera zako ukubaliwe ....punguza umama
Wanajizima data sio?Kama hamteseki na mahusiano vile[emoji16]
Usipojifunza utafunzwa ila duniani usipojitunza hakuna atakayekutunzaNilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.
Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.
Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
Wanajiza data[emoji16]Wanajizima data sio?
Antonnia wewe kazi yako kuwapa watu moyo tu vip upande wako relationship status yako iko vipi?Bila shaka Ushapata mwongozo mamy!! All the bests!!
Kwahiyo mambo yako yapo fresh 🤣Mimi sijaomba ushauri mkuu😁😁😁 !!
Ndio 💃Kwahiyo mambo yako yapo fresh 🤣
Vizuri Sana vipi shemeji anaendeleaje?Ndio 💃
Hajambo kabisa na watoto pia hawajambo! Naenda kupika🚶🏼♀️🙌🙌👋👋👋👋 Jioni njema!Vizuri Sana vipi shemeji anaendeleaje?
Mie ushauri wa mapenzi sina kwa kweli siku hizi. Nikiangalia jinsi mahusiano yangu yanavyoniendesha sitaki mtu apitie.