Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanaume anaruhisiwa kuoa mpaka wake wanne...wacha sophy aende akaolewe. Nyie wakati wa baridi mna nature blanket, mnataka mwenzenu akumbtie mitoSasa jamani mume wa hivyo jamni si mtihanii
Wewe tuu njoo pm tuyajenge nipo available tena ndoa fasta tuuWew si upo umeghairi tena
Aisee, kumbe. Ndio maana basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.
Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.
Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
Utaangaika sana 🤣🤣🤣 hupati kituNiimbie kidogo basi
[emoji23][emoji23][emoji23] leo nimepata kaufree time aisee, ndio ghafla nimeota nikajikuta nimefika. Sasa dada yangu, kumbe unamawazo yote hayo halafu hutaki kusema unatusagia sumu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefikaje huku wew
Unanisingizia 😂😂😂mm navowapenda nyie[emoji23][emoji23][emoji23] leo nimepata kaufree time aisee, ndio ghafla nimeota nikajikuta nimefika. Sasa dada yangu, kumbe unamawazo yote hayo halafu hutaki kusema unatusagia sumu tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana sophy27 kwa tukio uliopigwa na jamaa wewe ni mwanamke Mrembo sana na nilishawahi kukwambia na upo smart kichwani wanaume ni wengi sio lazima umn'gan'ganie jamaa Cha msingi tulia na kata mawasiliano na jamaa pamoja na familia yake hiyo ndio solution pekee tofauti na hapo jamaa atakuwa anakufatilia kujua relationship status yako ipo vipi na mambo mengineNilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.
Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.
Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
🏃🏃🏃Utaangaika sana 🤣🤣🤣 hupati kitu
Si vizuri ujueMzabzab 😂 labda nife
Kwani huyo mtu yupo mkoa gani na wewe upo mkoa gani?Iyo ndo shida namba moja naiona sidhani km tungekuwa karibu tungefikia hiv pia mm mwajiriwa kurudi huko ni. Changamoto lkn ndo maisha
🤣🤣🤣🤣🤣Ujue hata kama unahitaji mwanamke wa kuzaa nae tu...inabidi ubadilike
Thanks a lotPole sana sophy27 kwa tukio uliopigwa na jamaa wewe ni mwanamke Mrembo sana na nilishawahi kukwambia na upo smart kichwani wanaume ni wengi sio lazima umn'gan'ganie jamaa Cha msingi tulia na kata mawasiliano na jamaa pamoja na familia yake hiyo ndio solution pekee tofauti na hapo jamaa atakuwa anakufatilia kujua relationship status yako ipo vipi na mambo mengine
Anahitqji msaada huyu🤣🤣🤣🤣🤣
Nataka nipime distance wala Sio jambo la kuficha au kama unaona jau niandikie dmIyo Siri ya Kambi😂😂😂
Ila anatia huruma ebu mpe hata Mara Moja anatusumbua sana🤣Anahitqji msaada huyu
Aka mi stakiIla anatia huruma ebu mpe hata Mara Moja anatusumbua sana🤣