Ndio mkuu, nipate ABC zakeMm nilidhani wewe ndo unauza au unataka kuleta mrejesho wa biashara kumbe unataka kujua abs za hiyo biashara ngoja tusubiri waje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu, vipi nikitumia hawa wanaonunua na kusafirisha wabongo wenzetu, japo na was na uaminifu wao na bei zao zipo wakat mwingine naona zpo juu sana. Au nitumie tu Alibaba.Inategemea. Ila ukiwa makini hiyo 1.5m waweza pata mikoba kama 150pcs mchanganyiko za kuuza tsh 10000 hadi 35000. Nunua bando la kutosha ingia Alibaba tazama vitu kiundani utapata kinachokufaa.
Hapo kwenye woga ndio mwanzo wa anguko lako ukiwa Mjasiliamali usiogope kupoteza mkuu.Ahsante mkuu, vip nikitumia hawa wanaonunua na kusafirisha wabongo wenzetu , japo na was was na uaminifu wao na bei zao zipo wakat mwingine naona zpo juu Sana .... Au nitumie Tu alibaba
Ndio umuelekeze namna ya kufanya aanzeje toa ka elimu jamanHapo kwenye woga ndio mwanzo wa anguko lako ukiwa Mjasiliamali usiogope kupoteza mkuu
Nikushauri tu anza na Alibaba China utakuja kushuhudia Ukuu wa Mungu hapa
Huwa natamani kuagiza vitu Alibaba Ila hata sijui naanzaje naishia tu kutamani vitu na bei basi.Hapo kwenye woga ndio mwanzo wa anguko lako ukiwa Mjasiliamali usiogope kupoteza mkuu
Nikushauri tu anza na Alibaba China utakuja kushuhudia Ukuu wa Mungu hapa
Acha uoga. Wauzaji waliosajiliwa Alibaba ni waaminifu kuliko hao wabongo. Mimi nilianza na wabongo tukawa tunaishia kugombana tu. Sasa hivi ni Alibaba tu.Ahsante mkuu, vip nikitumia hawa wanaonunua na kusafirisha wabongo wenzetu , japo na was was na uaminifu wao na bei zao zipo wakat mwingine naona zpo juu Sana. Au nitumie Tu alibaba
Ukishampata muuzaji Alibaba mtumie pesa kwa Western Union au kama ni nyingi fanya Bank Transfer. Akishapokea mpe contacts za wasafirishaji wa mizigo China-Dar kama Silent Ocean na wengine. Ataufikisha mzigo then subiria ukifika kawalipe Silent then endelea na biashara yako. Rahisi sana.Huwa natamani kuagiza vitu Alibaba Ila hata sijui naanzaje naishia tu kutamani vitu na Bei Basi.
Halafu wewe ni mtu ninayevutiwa sana na post & comments zako humu. Pia wewe ni mkongwe humu.Ndio umuelekeze namna ya kufanya aanzeje toa ka elimu jaman
Ukishampata muuzaji Alibaba mtumie pesa kwa Western Union au kama ni nyingi fanya Bank Transfer. Akishapokea mpe contacts za wasafirishaji wa mizigo China-Dar kama Silent Ocean na wengine. Ataufikisha mzigo then subiria ukifika kawalipe Silent then endelea na biashara yako. Rahisi sana.
Tuelekeze sasaa unaanza kuna app au?Acha uoga. Wauzaji waliosajiliwa Alibaba ni waaminifu kuliko hao wabongo. Mimi nilianza na wabongo tukawa tunaishia kugombana tu. Sasa hivi ni Alibaba tu.
Shukran 🥰Halafu wewe ni mtu ninayevutiwa sana na post & comments zako humu. Pia wewe ni mkongwe humu.
Mkuu hizo gharama za fremu huko ulipo zitacost kiasi gani kwa mwezi?Eneo ni Kibamba Dar es salaam. Kwa wale wenye ujuzi vipi inalipa wakuu, ushauri nahitaji wakubwa , mtaji ni 1.5 mil plain nje ya Gharama za fremu
Unatumia kampuni ya kusafirisha mizigo kutoka huko China to Tz mkuu? , Au unaagizia mwenyewe tu kwanjia ya Posta?Halafu wewe ni mtu ninayevutiwa sana na post & comments zako humu. Pia wewe ni mkongwe humu.
Mkuu hizo gharama za fremu huko ulipo zitacost kiasi gani kwa mwezi?
Kama ni sehemu zenye mzunguko mkubwa wa watu na fremu ni Tshs 50,000/month huko kibamba sawa lakini kama ni zaidi ya laki sikushauri ni bora ukaongezea tu mtajo wako wa 1.5 mil
Kisha ukaangalia mbinu za kusupply mzigo wako kama kuuza online na kuwatembezea wahitaji
Mtaji ukiwa mkubwa unaweza kukodi fremu
Ukalipia hzio gharama za kodi ya frem, Tra, manispa , uchafu, umeme, ulinzi na n.k
Mkuu frem ni laki (100000), Ila na Mimi pia nimetarget kwenye digital marketing , pale ni kama ofisi ,mana usipokuwa na ofisi watu wanakuona kama Tapeli , kiukweli siwez kusema nategemea watu wanaopita njian ,mana ni wachache lakn pia sio wa kutegemea Sana , ... Nategemea kuweka na miamala ya pesa ,maji , na uwakala wa bank as days goes ona...ili kulinda Gharama za frem na tozo zingine .....Click to expand...