6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Ok vizuri mkuu, so kwa huduma hizo unazofikiria kuongeza maana yake mtaji wako ni zaidi ya hiyo 1.5m?Mkuu frem ni laki (100000), Ila na Mimi pia nimetarget kwenye digital marketing , pale ni kama ofisi ,mana usipokuwa na ofisi watu wanakuona kama Tapeli , kiukweli siwez kusema nategemea watu wanaopita njian ,mana ni wachache lakn pia sio wa kutegemea Sana , ... Nategemea kuweka na miamala ya pesa ,maji , na uwakala wa bank as days goes ona...ili kulinda Gharama za frem na tozo zingine .....
Naendelea kukusisitizia hakikisha location ipo kwenye msongamano wa watu wengi mkuu ni muhimu sana!
Kama ukikosa seheme yenye sifa hizo kwa biashara hiyo bora usipange kabisa..