Upo sahihi kwa kiasi fulani. Changamoto kubwa mbili huwa zinajitokeza:
1: Kwa sisi tulioko China inatubidi tununue kwanza mzigo, tuupokee hapa Guanzhou then tuupaki upya maana tunavyopaki wabongo ni tofauti ja wachina wengi, hivyo tunakupunguzia gharama za kusafirisha maana tutasave space kwa mizigo mingi.. hii inaweza ikaongea hata siku tatu au nne zaidi. Pamoja na hilo bado ni hiari ya mteja, maana naweza kuongea na mchina akatuma moja kwa moja
2: Changamoto ya pili ni kampuni za usafirishaji especially hizi kubwa ambazo wengi wanaziamini, sitataja majina ila zina changamoto ya kuchelewesha mizigo kwa sababu wanazozijuaga wenyewe.
Anyways, Bado choice ni yako mkuu, Kila la kheri katika biashara, na karibu wakati wowote ukikwama kwa chochote!!!
Halafu kidogo nisahau[emoji23][emoji23] Nipo uchinani chief, ndo maana nkakwambia ungekuwa kwenye group ungeverify