Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawanunulia, unapokea wewe then unawatumia ama?
ukihitaji list yawanaoleta vitu kwa uaminifu nichek nitakupatiaAhsante mkuu, vipi nikitumia hawa wanaonunua na kusafirisha wabongo wenzetu, japo na was na uaminifu wao na bei zao zipo wakat mwingine naona zpo juu sana. Au nitumie tu Alibaba.
Soko la dubai, wasafirishaji ni wapi?ukihitaji list yawanaoleta vitu kwa uaminifu nichek nitakupatia
nimeagiza mikoba ya 13000 ni mizuri sana kuna price ya chini zaidi
pia unaweza kufikiria soko la dubai wana pochi Classy
1.5m kwa biashara n kiasi kizuri ila umefikiria kwamba utatakiwa kuagiza kila baada ya wiki mbili hivi ilikuweza kuweka mzunguko sawa? kutokana na muda wa usafirishaji na clearance?
KWA DUBAI nafahamu waendao huko China unaweza oda onlineSoko la dubai, wasafirishaji ni wapi?
Hayo masoko lazima uende au hata online?
Asante, na Thai lazima uende?KWA DUBAI nafahamu waendao huko China unaweza oda online
Turkey pia nafahamu waendaji
wanasugest pia Thailand wana mzigo mzuri
labda uchimbe chimbe machimbo huko mitandaoniAsante, na Thai lazima uende?
Pale tandika upande gani wanafanya hii minada ya pochi tafadhali Pisi kaliUshauri wangu
Kwanini usiende tandika sokoni kuanzia saa7/8 mchana kunakuwaga na minada ya mapochi
Unapata vipochi vizuri tu tena vingine vipyaaaa
Unaweza kununua kwa 2000/3000/5000/10,000 pochi nzuri tu then we ukauza online na kwenye frame
Tena kwa 1.5m unapata mzigo wa kutosha
Unaitengeneza frame vizuri tu kiasi kwamba mtu anatamani tu kuingia aone
Kuagiza online ni kuzuri Sema muda mwingine unaweza kupata mzigo ambao sio (vipochi vidogo mno hata simu haikai) au quality ikawa ya kawaida mno
Anza na hiyo kwanza kwa baadae unaweza kwenda ama kuagiza kupitia faida utakayoipata
Nayo nzuriNina group la whatsapp la wateja wengi ninaowanunulia kutokea huku Guanzhou, karibu kama utakuwa interested.. uaminifu utaverify kwa wateja wengine pia, na bei ruksa kuuliza ukafananishe na alibaba
Hilo nalo nenoukihitaji list yawanaoleta vitu kwa uaminifu nichek nitakupatia
nimeagiza mikoba ya 13000 ni mizuri sana kuna price ya chini zaidi
pia unaweza kufikiria soko la dubai wana pochi Classy
1.5m kwa biashara n kiasi kizuri ila umefikiria kwamba utatakiwa kuagiza kila baada ya wiki mbili hivi ilikuweza kuweka mzunguko sawa? kutokana na muda wa usafirishaji na clearance?
Vipi suala la kodi?Ukishampata muuzaji Alibaba mtumie pesa kwa Western Union au kama ni nyingi fanya Bank Transfer. Akishapokea mpe contacts za wasafirishaji wa mizigo China-Dar kama Silent Ocean na wengine. Ataufikisha mzigo then subiria ukifika kawalipe Silent then endelea na biashara yako. Rahisi sana.
Check Instagram rosinas_collection...Wakuu habari za majukumu,
Nataka nifungue biashara ya kuuza mikoba au handbag za wadada, wallet na viatu pia special toka China na Uturuki.
Eneo ni Kibamba Dar es salaam. Kwa wale wenye ujuzi vipi inalipa wakuu, ushauri nahitaji wakubwa , mtaji ni 1.5 mil plain nje ya Gharama za fremu
Mimi ni kijana wa kiume na nitafanya mwenyewe sitaweka mtu.
Hela utakayowalipa wasafirishaji tayari wameshajumuisha na kodi.Vipi suala la kodi?
AsanteHela utakayowalipa wasafirishaji tayari wameshajumuisha na kodi.
Kiongozi dm yako umeifunga nlkuwa naomba mawasiliano yakoNi kweli kabisa ndugu pisikali. Halafu pia watu wasikariri kwamba kila kitu China. Kuna nchi kama Thailand, Vietnam, India... nao pia wana mabalaa yao. China anachojivunia ni uwezo tu wa kutengeneza bidhaa nyingi aina mbalimbali.
Tandika Sokoni upande gani? Maana Tandika kubwa...idea nzuri sana umetoaUshauri wangu
Kwanini usiende tandika sokoni kuanzia saa7/8 mchana kunakuwaga na minada ya mapochi
Unapata vipochi vizuri tu tena vingine vipyaaaa
Unaweza kununua kwa 2000/3000/5000/10,000 pochi nzuri tu then we ukauza online na kwenye frame
Tena kwa 1.5m unapata mzigo wa kutosha
Unaitengeneza frame vizuri tu kiasi kwamba mtu anatamani tu kuingia aone
Kuagiza online ni kuzuri Sema muda mwingine unaweza kupata mzigo ambao sio (vipochi vidogo mno hata simu haikai) au quality ikawa ya kawaida mno
Anza na hiyo kwanza kwa baadae unaweza kwenda ama kuagiza kupitia faida utakayoipata
Tandika Sokoni upande gani? Maana Tandika kubwa...idea nzuri sana umetoa
Hizo pochi za mtumba dada?Ukifika ulizia mnada wa mapochi
Leta Basi hiyo listukihitaji list yawanaoleta vitu kwa uaminifu nichek nitakupatia