MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Msafirishaji wakati wa kutoa mzigo atalipia kila kitu. Then wakati unaenda kuchukua mzigo ile hela utakayomlipa anakuwa kajumuisha gharama zote. Kwahiyo kamwe hakulipii hiyo kodiIna maana kodi analipa msafirishaji?
Msafirishaji wakati wa kutoa mzigo atalipia kila kitu. Then wakati unaenda kuchukua mzigo ile hela utakayomlipa anakuwa kajumuisha gharama zote. Kwahiyo kamwe hakulipii hiyo kodi
Duh Naomba namba yako inbox nitalifanyia kaziUpo sahihi kwa kiasi fulani. Changamoto kubwa mbili huwa zinajitokeza:
1: Kwa sisi tulioko China inatubidi tununue kwanza mzigo, tuupokee hapa Guanzhou then tuupaki upya maana tunavyopaki wabongo ni tofauti ja wachina wengi, hivyo tunakupunguzia gharama za kusafirisha maana tutasave space kwa mizigo mingi.. hii inaweza ikaongea hata siku tatu au nne zaidi. Pamoja na hilo bado ni hiari ya mteja, maana naweza kuongea na mchina akatuma moja kwa moja
2: Changamoto ya pili ni kampuni za usafirishaji especially hizi kubwa ambazo wengi wanaziamini, sitataja majina ila zina changamoto ya kuchelewesha mizigo kwa sababu wanazozijuaga wenyewe.
Anyways, Bado choice ni yako mkuu, Kila la kheri katika biashara, na karibu wakati wowote ukikwama kwa chochote!!!
Halafu kidogo nisahau[emoji23][emoji23] Nipo uchinani chief, ndo maana nkakwambia ungekuwa kwenye group ungeverify
Mi kuna mzigo wangu mpaka leo sijawahi kuupata sasa ina miezi 8Wanunuaji wa bongo chenga Sana , mizigo inakaa mpak miez miwili naskia ,nahs na wao wengi ni madalali tuu wapo kariakoo, ukipata trusted supplier Alibaba Bora kutumia Alibaba aisee
Wanasafirisha kila kitu na gharama za mzigo inategrmea Una cbm ngapi Kila bidhaa ina bei tofauti kuhusu muda ni siku 30-45 ila kulingana na corona inaweza kufika 60daysWanasafirisha hadi bidhaa za kielectronic? Na gharama zao wanachaji vipi mkuu naomba kufhamu hilo na onachukua muda gani kuupata mzigo mkuu?
Mi nachanganya Kkoo, Mwanza na China mkuuMkuu sa hv we unachukulia wap boss , tushirikishane
Kati ya mwaka jana au juzi, nilipiga simu silent ocean nikaongea na customer care, kuwauliza wakanijibu hawasafirishi LaptopWanasafirisha kila kitu na gharama za mzigo inategrmea Una cbm ngapi Kila bidhaa ina bei tofauti kuhusu muda ni siku 30-45 ila kulingana na corona inaweza kufika 60days
Pisikali umetoa bonge la ushauri... ni kweli kabisa bora kuanza kuzungusha hiyo hela ukiwa Dar kwanza ili baadae mtaji ukikua unatuma tu kiasi China sio mtaji wote. Kutuma hela yote China kwa mtu anayeanza na hata hajawahi kufika China au kuwa na mtu aliyeko kule ni hatari mno. Wachina wana upumbavu wakati mwingine wa kutuma kitu kisicho na ubora ukimbana anakujibu bei yako ilikuwa ndogo.Ushauri wangu
Kwanini usiende tandika sokoni kuanzia saa7/8 mchana kunakuwaga na minada ya mapochi
Unapata vipochi vizuri tu tena vingine vipyaaaa
Unaweza kununua kwa 2000/3000/5000/10,000 pochi nzuri tu then we ukauza online na kwenye frame
Tena kwa 1.5m unapata mzigo wa kutosha
Unaitengeneza frame vizuri tu kiasi kwamba mtu anatamani tu kuingia aone
Kuagiza online ni kuzuri Sema muda mwingine unaweza kupata mzigo ambao sio (vipochi vidogo mno hata simu haikai) au quality ikawa ya kawaida mno
Anza na hiyo kwanza kwa baadae unaweza kwenda ama kuagiza kupitia faida utakayoipata
Huu ni ushauri mzuri ni heri mfanya biashara akapunguza risk kama anaanzaUshauri wangu
Kwanini usiende tandika sokoni kuanzia saa7/8 mchana kunakuwaga na minada ya mapochi
Unapata vipochi vizuri tu tena vingine vipyaaaa
Unaweza kununua kwa 2000/3000/5000/10,000 pochi nzuri tu then we ukauza online na kwenye frame
Tena kwa 1.5m unapata mzigo wa kutosha
Unaitengeneza frame vizuri tu kiasi kwamba mtu anatamani tu kuingia aone
Kuagiza online ni kuzuri Sema muda mwingine unaweza kupata mzigo ambao sio (vipochi vidogo mno hata simu haikai) au quality ikawa ya kawaida mno
Anza na hiyo kwanza kwa baadae unaweza kwenda ama kuagiza kupitia faida utakayoipata
Pisikali umetoa bonge la ushauri... ni kweli kabisa bora kuanza kuzungusha hiyo hela ukiwa Dar kwanza ili baadae mtaji ukikua unatuma tu kiasi China sio mtaji wote. Kutuma hela yote China kwa mtu anayeanza na hata hajawahi kufika China au kuwa na mtu aliyeko kule ni hatari mno. Wachina wana upumbavu wakati mwingine wa kutuma kitu kisicho na ubora ukimbana anakujibu bei yako ilikuwa ndogo.
Huu ni ushauri mzuri ni heri mfanya biashara akapunguza risk kama anaanza
#calculatedrisk
Huu mnada Ni kila siku au kuna siku zake? Vipi kuhusu quality ya pochitandika sokoni kuanzia saa7/8 mchana kunakuwaga na minada ya mapochi
Huu mnada Ni kila siku au kuna siku zake? Vipi kuhusu quality ya pochi
Ni kweli kabisa ndugu pisikali. Halafu pia watu wasikariri kwamba kila kitu China. Kuna nchi kama Thailand, Vietnam, India... nao pia wana mabalaa yao. China anachojivunia ni uwezo tu wa kutengeneza bidhaa nyingi aina mbalimbali.Kweli na Pia unaweza ukapata hasara tu usirudishe hata hela ya mtaji
Hapo kuna kupata, kuna kukosa
Kupata hasara such kutapeliwa au mzigo kuchelewa sana 60days+ na hapo mzigo unakuja sio wenyewe au quality mbaya au mzigo ushapitwa na wakati (bei zimepungua sana au watu hawazipendi tena)
Ni heri kuanza hapa hata ukiagiza unajua huku unaendelea na biashara yako hupotezi wateja na hata hela ikipotea unajua utaipata kwenye hiyo hiyo biashara
Nimechoka kutype[emoji2955][emoji2955]hamna voice note kwani jamani??? Nitume
Alibaba ofsi zao ziko wapi bongo hii mkuu?Ahsante mkuu, vipi nikitumia hawa wanaonunua na kusafirisha wabongo wenzetu, japo na was na uaminifu wao na bei zao zipo wakat mwingine naona zpo juu sana. Au nitumie tu Alibaba.
Unawanunulia, unapokea wewe then unawatumia ama?Nina group la whatsapp la wateja wengi ninaowanunulia kutokea huku Guanzhou, karibu kama utakuwa interested.. uaminifu utaverify kwa wateja wengine pia, na bei ruksa kuuliza ukafananishe na alibaba
Mkuu nilitamani sana hili soko MkuuThailand,