Ushauri, Nataka kuanza biashara ya handbag au viatu toka China/Uturuki

Unawanunulia, unapokea wewe then unawatumia ama?

Ndio mkuu, kupokea ni choice yao. Apokee mwenyewe au ofisi itampokelea ingawa tunapenda mteja apokee mwenyewe ili awe na huru kufollow up mzigo wake sehemu husika moja kwa moja
 
Ahsante mkuu, vipi nikitumia hawa wanaonunua na kusafirisha wabongo wenzetu, japo na was na uaminifu wao na bei zao zipo wakat mwingine naona zpo juu sana. Au nitumie tu Alibaba.
ukihitaji list yawanaoleta vitu kwa uaminifu nichek nitakupatia

nimeagiza mikoba ya 13000 ni mizuri sana kuna price ya chini zaidi

pia unaweza kufikiria soko la dubai wana pochi Classy

1.5m kwa biashara n kiasi kizuri ila umefikiria kwamba utatakiwa kuagiza kila baada ya wiki mbili hivi ilikuweza kuweka mzunguko sawa? kutokana na muda wa usafirishaji na clearance?
 
Soko la dubai, wasafirishaji ni wapi?
Hayo masoko lazima uende au hata online?
 
Soko la dubai, wasafirishaji ni wapi?
Hayo masoko lazima uende au hata online?
KWA DUBAI nafahamu waendao huko China unaweza oda online
Turkey pia nafahamu waendaji

wanasugest pia Thailand wana mzigo mzuri
 
KWA DUBAI nafahamu waendao huko China unaweza oda online
Turkey pia nafahamu waendaji

wanasugest pia Thailand wana mzigo mzuri
Asante, na Thai lazima uende?
 
Pale tandika upande gani wanafanya hii minada ya pochi tafadhali Pisi kali
 
Nina group la whatsapp la wateja wengi ninaowanunulia kutokea huku Guanzhou, karibu kama utakuwa interested.. uaminifu utaverify kwa wateja wengine pia, na bei ruksa kuuliza ukafananishe na alibaba
Nayo nzuri
 
Hilo nalo neno
 
Vipi suala la kodi?
 
Check Instagram rosinas_collection...
 
Ni kweli kabisa ndugu pisikali. Halafu pia watu wasikariri kwamba kila kitu China. Kuna nchi kama Thailand, Vietnam, India... nao pia wana mabalaa yao. China anachojivunia ni uwezo tu wa kutengeneza bidhaa nyingi aina mbalimbali.
Kiongozi dm yako umeifunga nlkuwa naomba mawasiliano yako
 
Tandika Sokoni upande gani? Maana Tandika kubwa...idea nzuri sana umetoa
 
Leta Basi hiyo list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…