Ushauri, Nataka kuanza biashara ya handbag au viatu toka China/Uturuki

Hivi Nini tofauti ya Alibaba na AliExpress?
AliExpress wengi ni wauzaji wa reje reja na bei zao ziko juu kidogo.Alibaba ni wauzaji wa jumla yaan ni kutoka kiwandani.
 
Toa link ya grup lako niingie
 
Mkuu hata mimi nakuunga mkono uuze online. Wananchi waambie tu ukweli wa vitu ulivyo navyo. Wengi online wanaonekana matapeli kwa sababu utakuta hana stock yoyote na hana connection nzuri ya kupata bidhaa aliyotangaza.
Yes mkuu hata mm nauza online na nashukur napata customers
 
Nina group la whatsapp la wateja wengi ninaowanunulia kutokea huku Guanzhou, karibu kama utakuwa interested.. uaminifu utaverify kwa wateja wengine pia, na bei ruksa kuuliza ukafananishe na alibaba
Niunge kwenye hilo group lako la whatsapp
 
namboa kujua kupia members nikampunia gania nweza nikaitumia kusafirisha mizigo yangu kutoka uingereza kuja tanzania na mizigo yangu ikanifikia salama salmin bila porojo porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…