Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge ni mtam sana mayai yake kama ya kukuNyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri.
Usiwale hao ndio majirani zakoNaishi pembeni ya mto
mkuu me naona we kula tu ili ujiwekee records wa kuwa wa kwanza kula.Mkuu unanionea 😅
KuwalajeUkifikia kula watu nicheki
Kumbe wewe ni cannibal mkuu? Hahaha...Ukifikia kula watu nicheki
Ukaona ukimla utakuwa na akili kama zake au?Kenge! Kuna baadhi ya maeneo wanakula hawa! Niliwahi kuishi maeneo flani wanakula sana na hawaiti kenge wana jina lao...
Nilitamani kuonja ila nafsi ikasita nikifikiria vile alivyo na akili yake nusu ya kukimbia mvua kuingia mtoni nikaona hapana...
KichWa bOX
Nyama ya kenge ni nzuri kwa kuchoma...Kenge! Kuna baadhi ya maeneo wanakula hawa! Niliwahi kuishi maeneo flani wanakula sana na hawaiti kenge wana jina lao...
Nilitamani kuonja ila nafsi ikasita nikifikiria vile alivyo na akili yake nusu ya kukimbia mvua kuingia mtoni nikaona hapana...
KichWa bOX
EeeKumbe wewe ni cannibal mkuu? Hahaha...
Kuchoma nyamaKuwalaje