Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri.

Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
 
Kenge! Kuna baadhi ya maeneo wanakula hawa! Niliwahi kuishi maeneo flani wanakula sana na hawaiti kenge wana jina lao...
Nilitamani kuonja ila nafsi ikasita nikifikiria vile alivyo na akili yake nusu ya kukimbia mvua kuingia mtoni nikaona hapana...


KichWa bOX
 
Ukaona ukimla utakuwa na akili kama zake au?
 
Nyama ya kenge ni nzuri kwa kuchoma...
usipike...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…