Redmi note 10 pro bei gani mkuu? hiyo note 10c ulinunua bei gani pia?Red mi note series ni nzr Sana mkuu,
Mimi Nina note 10 s mwezi wa 8 sasa haisumbuwi.
Long life changing.
Fast internet connection.
Good screen.
Good network.
Ni simu nzr Sana,,
Hutojutia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichukua kwa bei gani mkuu?Ninayo, ndo nayoitumia sasa, nilinunua december mwaka jana... Inakaa sana na charge, na ikiisha inachukua muda mchache sana kujaa, kama sikosei dk 45, ni fast charge, nashauri utumie charge yake iliyokuja na cm... Kwenye picha usiseme, bado sijakutana na cm unaishinda hii kwenye picha... Kidg hiyo google pixel wanaoisifia... Zinaweza zikawa sawa
680,000 dukani, hata sikuuliza mara mbili, nilihisi jamaa kajichanganya maana najua bei zake ni 750,000-780,000Ulichukua kwa bei gani mkuu?
Hahaha680,000 dukani, hata sikuuliza mara mbili, nilihisi jamaa kajichanganya maana najua bei zake ni 750,000-780,000
ππ§ππ’π§π’π± ππ¨ππ 11 Display 6.95 inchPendekeza simu yenye 6.9inch display hapa tukitoa brand za samsung na mwenzake epo
Pendekeza simu yenye 6.9inch display hapa tukitoa brand za samsung na mwenzake epo
Kama unaipata chini ya laki 6 si mbaya, otherwise zipo simu nzuri zaidi 2022 kwa Around laki 7.Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Useful link. Nimekutana na vivo x note. Kibongobongo inatua kwa sh ngapi
Si chini ya milioni 2 mkuu.U
Useful link. Nimekutana na vivo x note. Kibongobongo inatua kwa sh ngapi
Shukrani kwa taarifaSi chini ya milioni 2 mkuu.
Note 10 S nilinunuwa nje ni kama Dola 250 $ .Redmi note 10 pro bei gani mkuu? hiyo note 10c ulinunua bei gani pia?