USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

yope

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
364
Reaction score
689
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,

Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
 
Red mi note series ni nzr Sana mkuu,
Mimi Nina note 10 s mwezi wa 8 sasa haisumbuwi.

Long life changing.
Fast internet connection.
Good screen.
Good network.

Ni simu nzr Sana,,
Hutojutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pendekeza simu yenye 6.9inch display hapa tukitoa brand za samsung na mwenzake epo
 
Ninayo, ndo nayoitumia sasa, nilinunua december mwaka jana... Inakaa sana na charge, na ikiisha inachukua muda mchache sana kujaa, kama sikosei dk 45, ni fast charge, nashauri utumie charge yake iliyokuja na cm... Kwenye picha usiseme, bado sijakutana na cm unaishinda hii kwenye picha... Kidg hiyo google pixel wanaoisifia... Zinaweza zikawa sawa
 
Ulichukua kwa bei gani mkuu?
 
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,

Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Kama unaipata chini ya laki 6 si mbaya, otherwise zipo simu nzuri zaidi 2022 kwa Around laki 7.
 
Back
Top Bottom