project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninayo, ndo nayoitumia sasa, nilinunua december mwaka jana... Inakaa sana na charge, na ikiisha inachukua muda mchache sana kujaa, kama sikosei dk 45, ni fast charge, nashauri utumie charge yake iliyokuja na cm... Kwenye picha usiseme, bado sijakutana na cm unaishinda hii kwenye picha... Kidg hiyo google pixel wanaoisifia... Zinaweza zikawa sawa
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Pixel ni flagship/premium midrange, vyema ifananishwe na flagship wenzake kina Mi 11 na 12Hiyo simu haiizidi pixel Kwa ubora wa picha hata kama ina mp108 wakati pixel ni 12mp ila still picha za google pixel ni umeme..... Mpaka imefikia wenye Redmi Wana download kamera ya Google Pixel kuongeza ubora
Nina wiki 3 toka niinunue wapo vizuri,kuna makampuni yana simu kali,sema watu hawazijui,wamekomalia macho matatu tu.Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Kama simu gani Chief?Kama unaipata chini ya laki 6 si mbaya, otherwise zipo simu nzuri zaidi 2022 kwa Around laki 7.
Pixel ni flagship/premium midrange, vyema ifananishwe na flagship wenzake kina Mi 11 na 12
Iphone X ni flagship ya 2017 na pixel ni ya 2019. Vyema kama unalinganisha iwe ni pixel. Comparison nzuri ni pixel 3a na iphone 11.Sawa mkuu nimekupata, lakin wao ndo wanapenda kulimganisha pixel na hizo brand zine though iphone x na kwamba ni flagship lakin hamfikii pixel Kwa kamera hasa pixel 3a
Redmi note 10 pro? Mbona kawaida bila ofa Tigo wanauza laki 6?Kama simu gani Chief?
Maana jana sabasaba kwenye banda la tigo ilikuwa inauzwa 770k
Mbona ndio bei ya 8GB ram punguza nimshawishi dogo achukueAnyway narudia Tena nauza
Redmi Note 10 Pro
[emoji991] 108MP za uhalisia
Ram 6/128
No dots no scratches
Price 520k
0624359965
Hicho ndo kilichonikimbiza note 10 pro kwenda pixel108p 8GB Ram 128Rom na update android 12 soon 13[emoji91][emoji91]
Hii simu ni noma ninayo mwezi wa nne haijawahi nisumbua[emoji1491][emoji1491]
Ila kuna issue kwenye kamera sio mbovu ila ukipiga kwenye jua inapata moto so kaa nayo mbali na jua la sa saba mchana[emoji1787][emoji1787]
Zipo mbili mkuu hiyo nilikosea ni ya ofisin yenyewe ram ni 8 yangu nauza 470k ila 450 nachukuaMbona ndio bei ya 8GB ram punguza nimshawishi dogo achukue
Pixel gani umechukua kama mbadala N bei ngapi afisaZipo mbili mkuu hiyo nilikosea ni ya ofisin yenyewe ram ni 8 yangu nauza 470k ila 450 nachukua
Mkuu umeshift kutoka note 10 pro kuja pixel 3a? Mbona umerud chini sana, 3a kithamani si 260k tu,Hicho ndo kilichonikimbiza note 10 pro kwenda pixel
Sina cha kuongeza apo nasisitiza kaa m11 HIO New edition achana Na redmi or poco f3ila mi unyama zaidiRedmi note 10 pro? Mbona kawaida bila ofa Tigo wanauza laki 6?
ama ni version ya 256GB hio?
Kama budget inafika laki 7 soc nzuri ni snapdragon 778G. Tafuta simu kama Xiaomi 11 lite 5G Ne, Realme Gt master, Samsung galaxy M52 etc.
Kama unakosa Exynos 1280 ama snapdragon 695 si mbaya.
Simu kama Galaxy A33, vivo T1, poco X4 pro 5G, Redmi note 11 pro 5G etc.
Mwenzio mjanja katoka midrange kwenda upperMkuu umeshift kutoka note 10 pro kuja pixel 3a? Mbona umerud chini sana, 3a kithamani si 260k tu,
Quality ya camera note 10 pro akasubir Kwa pixel 3aMkuu umeshift kutoka note 10 pro kuja pixel 3a? Mbona umerud chini sana, 3a kithamani si 260k tu,