USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

Redmi note 10 pro bei gani mkuu? hiyo note 10c ulinunua bei gani pia?
Ninaitumia kwa sasa. Nilinunua Moshi kwenye duka moja stand ya mabasi kwa 450,000 ikiwa used. Ni miezi 4 sasa naitumia na sijapata chamgamoto yoyote... Inakaa sana na chaji na ina camera yenye megapixels 108.
 
Chaji inatunza au lawama tu
Kuna mambo mengine hapa tunadanganyana naangalia tu nabaki kucheka... Ulinganishe 3a yenye 3000mAh na redmi note 10pro yenye 5,020mAh...? Mm leo uniambie unipe 3a au redmi note 10 pro, nachukua redmi, maana imekamilika kila eneo kulinganisha na hizo pixel... Pixellabda iwe simu ya pili
 
Kwaiyo unaamanisha Redmi note 10 pro anamzidi pixel kila eneo 😂😂😂😂 we jamaa simu umeanza Tumia lini
 
Ulikuwa una option ya atleast pix4, 3a xl, 3xl ila ww umeangukia kwa dogo janja 3a
Kuonyesha userious huyo dogo Janja Bado Redmi note 10 pro hafui dafu je unadhani Kwa 4 inakuwaje!!?
Alafu kuangukia kwangu Kuna factor mbali mbali unajua Bei za pixel zikiwa mpya!??
 
Kwaiyo unaamanisha Redmi note 10 pro anamzidi pixel kila eneo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa simu umeanza Tumia lini
Performance wise yes, Redmi note 10pro kamzidi pixel kila kitu... Simu kushika nafasi ya pili kwenye simu 10 bora duniani co jambo dogo
 
Kwaiyo unaamanisha Redmi note 10 pro anamzidi pixel kila eneo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa simu umeanza Tumia lini
Tusihangaike sana, ingia gsm arena, jaribu ku compare cm na hiyo taka taka useme wapi imeizidi
Screenshot_2022-07-07-16-13-21-057_com.android.chrome.jpg
 
Performance wise yes, Redmi note 10pro kamzidi pixel kila kitu... Simu kushika nafasi ya pili kwenye simu 10 bora duniani co jambo dogo
Pixel ana 12mp ila huyo Redmi na 108mp zake anaonekana kama Tecno tu Android update pixel anamzidi Redmi bugs na crashes Redmi anamzidi pixel inshort Bado sana kwenye kufananisha simu kaka 😂😂😂 ukitoa betri ukubwa wa screen na microsd ndivyo vitu ambavyo 10 inaizid pixel Tena pixel 3a maana nikikuwekea 4 au 5 hapo mnatafutana
 
Back
Top Bottom