Ushauri: Nataka kuoa mke kwa bajeti ya Tsh. Milioni 1

Ushauri: Nataka kuoa mke kwa bajeti ya Tsh. Milioni 1

Milioni moja kwa familia ya kimasikini na tiamajitiamaji unapata fasta! Ila kwa familia zinazojitambua hiyo hela nakushauri ikusaidie kujiongezea nguvu ya kiuchumi na kimaisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwamba kuoa ndo rahisi kiasi hicho mkuu hiyo ya haraka haraka hivyo nakushauri rudi kwenu ongea na wazee watakupointia ila hivyo ya kupanga na bajeti kwa style hiyo labda kama unatafuta short time it's ok maana ndoa ni chemistry element zisipo match lazima shida itakuepo
Ko chemia itapatikana kwa kutafutiwa na wazazi wake? Khaaaah
 
Wanawake ambao wanahitaji kuolewa ni wengi Sana . hivyo ikiwa upo serious Fanya hivi

taja vigezo /sifa za mwanamke unayemuhitaji.

Mfano
Dini
Elimu
Kabila
Urefu
Haiba
N.k

Kuhusu mil 1 yako ebu jaribu kuitumia ktk uwekezaji ambao utaisaidia familia yako.

Mahari na gharama za kuoa usizitangulize mbele kikubwa weka nia kuwa unataka mke wa kuoa. Inshallah ✊🏿
 
mtu unayetoka nawe kijijini kwenu kule mbwinde lazima kuna maisha mtafanana kwenye life style
Unajidanganya weyee!! Watu wanabadilika.

Watu wanaanza mahusiano toka wako primary, wanakuja kufarakana baada ya miaka 4 ya ndoa yao ya kanisanii.

Nilipoamini kuwa hayana Formula. Lol
 
Mfuko wako unaujua mwenyewe... Elfu Hamsini au Trillioni mbili zote zinawezekana so long as ni zako..., Ingawa usije kuwa kama wale unasumbua ndugu na jamaa na marafiki kwenye whatsapp wakuchangie (yaani furaha yako mzigo kwa wengine) By the way mchango ni kama mkopo mtu akikupa laki tano kesho akipiga hodi anataka laki nne sidhani kama utaweza kukataa (hata kama hauna utakwenda Saccos)
 
Unajidanganya weyee!! Watu wanabadilika.

Watu wanaanza mahusiano toka wako primary, wanakuja kufarakana baada ya miaka 4 ya ndoa yao ya kanisanii.

Nilipoamini kuwa hayana Formula. Lol
uko sahihi boss ila ndo ukikomaa na mifano ya watu maana yake watu wasioe wacha vijana wa take risk but with maximum caution
 
kwamba kuoa ndo rahisi kiasi hicho mkuu hiyo ya haraka haraka hivyo nakushauri rudi kwenu ongea na wazee watakupointia ila hivyo ya kupanga na bajeti kwa style hiyo labda kama unatafuta short time it's ok maana ndoa ni chemistry element zisipo match lazima shida itakuepo

Wahindi ndoa zao ni arranged marriage ila ndio zinaongoza kwa kudumu.. wahindi huwa wanandoa wanachaguliwa mwenza na familia

Mambo ya love sijui chemistry huwa yana mbwembwe mwanzoni tu. Mbeleni divorce na hata kuchinjana
 
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam.

Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au mtu nimemweka ndani. Sasa kutokana na ubize wa kazi zangu na aina ya mwanamke ninaye muhitaji naona kama nitafail ndani ya muda huu.

Therefore na plan niende either Tanga au Singida kutafuta binti mdogo niweze ishi anae ila katika mikoa hiyo husika sina mwenyeji hivyo nimeandaa bajeti ya milion moja kwa ajili ya kufanya hilo jambo langu. Je, nitafanikiwa au nipeni miongozo ili vijana tuache kukaa wapweke.
Inatosha sana,hata iwapo unajitambua ipasavyo hata laki tano inatosha.
 
Wahindi ndoa zao ni arranged marriage ila ndio zinaongoza kwa kudumu.. wahindi huwa wanandoa wanachaguliwa mwenza na familia

Mambo ya love sijui chemistry huwa yana mbwembwe mwanzoni tu. Mbeleni divorce na hata kuchinjana
Cicle yao haiendi mbali na ukoo
 
Hiyo milion ungewekeza kwenye mambo ya msingi tu
 
Mke hatafutwi Kwa njia hii Mkuu....angalia hata unaposali kama mkristo onana Na viongoz wa kanisa watakusaidia
 
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam.

Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au mtu nimemweka ndani. Sasa kutokana na ubize wa kazi zangu na aina ya mwanamke ninaye muhitaji naona kama nitafail ndani ya muda huu.

Therefore na plan niende either Tanga au Singida kutafuta binti mdogo niweze ishi anae ila katika mikoa hiyo husika sina mwenyeji hivyo nimeandaa bajeti ya milion moja kwa ajili ya kufanya hilo jambo langu. Je, nitafanikiwa au nipeni miongozo ili vijana tuache kukaa wapweke.
Singida wala usitnge bajeti...wee andaa tu nauli, kwanza utapata bahati ya kupita morogoro na dodoma bure kabisa
 
Back
Top Bottom