Ushauri: Nataka kuoa mwanamke ambaye simpendi

Cha ajabu ni kwamba wanawake ambao hawajaolewa ndo washauri wakuu.

Hapa ilifaa wanawake waliiolewa ndo watoe ushauri,na sio singo mazaz
 
Samtime ❌
Sometime✔
 
Mkuu muache huyo cha kufanya tafuta manzi mkali sana mwenye chura hasa,hakikisha awe mjanja mjanja.hakika tunategemea utarudi tena na kilio kikubwa tu na wadau watakubembeleza.hawatakutupa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaona ndoa kama wametoboa maisha vile.
Wakati kila siku mtaani tunaona watu wameachana. Kwani mtu ukiolewa ndo unapewa na cheti cha kutoa maoni kwa wanaotaka kuolewa?
Eti shoga angu we ulivyoolewa ulipewa cheti cha kuambia wengine nini kinatakiwa kwenye ndoa?
Bwana weee tuache labda atatuoa na sisi maana sura nzuri ipo.
Hujambo lakini rafiki?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia mtu akizaa anakosa vigezo vya kuwa mke? Au kisa nyie malaika wa JF mnawasema singo meza mnadhani ndo wanaume wenye akili zao huku mtaani wanawasikiliza nyie?
Singo maza kibao wanaolewa. Hamna mtu ana mamlaka ya kusema fulani ana haki ya kutoa maoni kuliko mwingine.
Msijipe huo utukufu wanaume msiojitambua
Ni mwanamke ila hajaolewa kazalishwa halafu kaachwa,hivyo alikosa vigezo vya kuolewa na kama aliolewa bas kaachika.

Hivyo hapaswi kuleta ushauri. Inapaswa aliolewa ndio alete ushauri hapa huku akijitolea mfano yeye mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikuache tu maana wahenga walisema zimwi likujualo halikuli likakwisha...nakustahi maana we mshkaji wangu,halafu naelewa situation.

Tufanye umeshinda. Ruksa unaweza kutoa maoni yako Dada.
 
Kumbe tulikua na mashindano?? SIKUJUA. ASANTE KWA USHINDI WA KUPITA BILA KUPINGWA
Ngoja nikuache tu maana wahenga walisema zimwi likujualo halikuli likakwisha...nakustahi maana we mshkaji wangu,halafu naelewa situation.

Tufanye umeshinda. Ruksa unaweza kutoa maoni yako Dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…