kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 593
- 983
[emoji2297][emoji26][emoji26][emoji26]Wakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.
Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na hana tatizo lolote na mimi.
Samtime hua najipa moyo labda tukiwa katika ndoa nitampenda.
Ushauri naomba, je nimuoe kulingana na sifa na tabia zake nzuri!?
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe wasema???? Sasa usiende kumsumbua buroo wetu huko, tena ukampende mama mkwe usije tuletea balaa, si umejua huyo mwenzio tabia 99% yupo vyema eeeeh!? +Mimi nina shape nina sura nzuri.
Sijaolewa hadi leo.
Njoo unioe mkuu achana na huyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaona ndoa kama wametoboa maisha vile.
Wakati kila siku mtaani tunaona watu wameachana. Kwani mtu ukiolewa ndo unapewa na cheti cha kutoa maoni kwa wanaotaka kuolewa?
Eti shoga angu we ulivyoolewa ulipewa cheti cha kuambia wengine nini kinatakiwa kwenye ndoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe wasema???? Sasa usiende kumsumbua buroo wetu huko, tena ukampende mama mkwe usije tuletea balaa, si umejua huyo mwenzio tabia 99% yupo vyema eeeeh!? +
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.
Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na hana tatizo lolote na mimi.
Samtime hua najipa moyo labda tukiwa katika ndoa nitampenda.
Ushauri naomba, je nimuoe kulingana na sifa na tabia zake nzuri!?
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna maoni ya aliyeolewa na asiyeolewa.
Sasa basi tutegemee kuwa na kaburi la aliyeolewa na asiyeolewa.
Achana nao wengine wanafunzi wanaendesha magari ya kaka zao, wanaishi kwa kaka zao, wao wenyewe wamezalisha mtaani na kutelekeza halafu wanakuja kujifanya single moms nyo nyoko.
Shubaamiti zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina shape nina sura nzuri.
Sijaolewa hadi leo.
Njoo unioe mkuu achana na huyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama amekupenda Oa tu. Hawa unaowatamani watakuumiza kichwa tu.Wakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.
Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na hana tatizo lolote na mimi.
Samtime hua najipa moyo labda tukiwa katika ndoa nitampenda.
Ushauri naomba, je nimuoe kulingana na sifa na tabia zake nzuri!?
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umeniacha hoiHata mm nimeoa juz tu mkali wangu ila kiukweli toka moyoni sina hisia nae na hanivutii kabisa ila nilichofuata kwake ni akili ya maisha pia ana adabu sana na hata jamii inayomzunguka inamsifia balaa yaan hana makandokando yoyote zaid tu me ndo sijamwelewa ila nimeoa tu ivo ivo maana ananiheshimu had anapitiliza .
Sent using Jamii Forums mobile app
UsiouWakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.
Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na hana tatizo lolote na mimi.
Samtime hua najipa moyo labda tukiwa katika ndoa nitampenda.
Ushauri naomba, je nimuoe kulingana na sifa na tabia zake nzuri!?
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni wachapa kazi na ubahili wa maendeleo. Ila ukimnyanyasa anakupiga chini dakika sifuriBwana mdogo linapofika swala la kuoa tunaoa character na si umbo. Hujawahi ona ya kuwa wanawake wenye sura nzuri wanakosa kuolewa? Na vile wenye sura za kawaida tu ndo wengi wao wameolewa?