Ushauri: Nataka kuoa mwanamke ambaye simpendi

Wakuu habari za Weekend.

Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.

Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na hana tatizo lolote na mimi.

Samtime hua najipa moyo labda tukiwa katika ndoa nitampenda.

Ushauri naomba, je nimuoe kulingana na sifa na tabia zake nzuri!?

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2297][emoji26][emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina shape nina sura nzuri.
Sijaolewa hadi leo.
Njoo unioe mkuu achana na huyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe wasema???? Sasa usiende kumsumbua buroo wetu huko, tena ukampende mama mkwe usije tuletea balaa, si umejua huyo mwenzio tabia 99% yupo vyema eeeeh!? +

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hata mm nimeoa juz tu mkali wangu ila kiukweli toka moyoni sina hisia nae na hanivutii kabisa ila nilichofuata kwake ni akili ya maisha pia ana adabu sana na hata jamii inayomzunguka inamsifia balaa yaan hana makandokando yoyote zaid tu me ndo sijamwelewa ila nimeoa tu ivo ivo maana ananiheshimu had anapitiliza .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kuna maoni ya aliyeolewa na asiyeolewa.
Sasa basi tutegemee kuwa na kaburi la aliyeolewa na asiyeolewa.
Achana nao wengine wanafunzi wanaendesha magari ya kaka zao, wanaishi kwa kaka zao, wao wenyewe wamezalisha mtaani na kutelekeza halafu wanakuja kujifanya single moms nyo nyoko.
Shubaamiti zao.
Watu wanaona ndoa kama wametoboa maisha vile.
Wakati kila siku mtaani tunaona watu wameachana. Kwani mtu ukiolewa ndo unapewa na cheti cha kutoa maoni kwa wanaotaka kuolewa?
Eti shoga angu we ulivyoolewa ulipewa cheti cha kuambia wengine nini kinatakiwa kwenye ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke sura, ta. qo tabia mtanivumilia akili nitatumia za ndugu yako.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe wasema???? Sasa usiende kumsumbua buroo wetu huko, tena ukampende mama mkwe usije tuletea balaa, si umejua huyo mwenzio tabia 99% yupo vyema eeeeh!? +

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usije ukajaribu huo mchezo, hakuna kazi ngumu kama kukaa na mtu ambaye huna hisia naye.
Mimi yamenikuta, mwanzo nilijipa moyo kwamba nitampenda tu mbele ya safari ila mambo hayakuwa kama nilivyotaraji, huyu binti anisamehe tu maana sijawahi kuwa proud na yeye hata siku moja..
Nashukuru kwa sasa yamefika mwisho, nikitaka kuoa siwezi fanya huo ujinga hata siku moja.
Ebu imagine unalala na unaamka na mtu usiyempenda wala kuwa na hisia naye, huwez kuwa na furaha wala aman moyoni.

Nakushauri acha kuharakisha mambo, utakuja juta baadaye au utakuja kumuacha kwa makosa ya kawaida kabisa.
Wakuu habari za Weekend.

Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.

Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na hana tatizo lolote na mimi.

Samtime hua najipa moyo labda tukiwa katika ndoa nitampenda.

Ushauri naomba, je nimuoe kulingana na sifa na tabia zake nzuri!?

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wallah very soon tutaona makaburi ya walioolewa na wasioolewa. Mwenyewe hajasema anataka ushauri wa walio kwenye ndoa ila wenzangu na mimi "malaika wenye ndoa" ndo hawataki tusio na ndoa tucomment.
Makubwaaa
Kumbe kuna maoni ya aliyeolewa na asiyeolewa.
Sasa basi tutegemee kuwa na kaburi la aliyeolewa na asiyeolewa.
Achana nao wengine wanafunzi wanaendesha magari ya kaka zao, wanaishi kwa kaka zao, wao wenyewe wamezalisha mtaani na kutelekeza halafu wanakuja kujifanya single moms nyo nyoko.
Shubaamiti zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za Weekend.

Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.

Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na hana tatizo lolote na mimi.

Samtime hua najipa moyo labda tukiwa katika ndoa nitampenda.

Ushauri naomba, je nimuoe kulingana na sifa na tabia zake nzuri!?

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama amekupenda Oa tu. Hawa unaowatamani watakuumiza kichwa tu.

Ipo siku utamtafuta kwa tochi utakapomuacha. Ukitaka kujua mke material usibabaikie uzuri wala elimu, hata kama ni mzuri au ana degree 4. Cha kutazama ni tabia na upendo zaidi. Hayo mengine ni ziada tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyaaa, we oa tu,mengine mbele kwa mbele,mkishindana si kila mtu anachukua zake time tu,maisha yenyewe mafupi haya usikommpliketi mambo ,
 
Sema huna alternative ya mwanmke na unataka kuoa. Kuoa ni sahihi lakini si lazima kuoa mapema. Unaweza subiri hata ukiwa na 40 huko ndo uoe. Kama humpendi ujue akishaingia ndani tu utaanza kuchepuka.
 
Hata mm nimeoa juz tu mkali wangu ila kiukweli toka moyoni sina hisia nae na hanivutii kabisa ila nilichofuata kwake ni akili ya maisha pia ana adabu sana na hata jamii inayomzunguka inamsifia balaa yaan hana makandokando yoyote zaid tu me ndo sijamwelewa ila nimeoa tu ivo ivo maana ananiheshimu had anapitiliza .

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umeniacha hoi

Bora wewe umefanya maamuzi magumu. Hivyo hivyo mwendo mdundo mradi uhai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za Weekend.

Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.

Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na hana tatizo lolote na mimi.

Samtime hua najipa moyo labda tukiwa katika ndoa nitampenda.

Ushauri naomba, je nimuoe kulingana na sifa na tabia zake nzuri!?

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiou
 
Bwana mdogo linapofika swala la kuoa tunaoa character na si umbo. Hujawahi ona ya kuwa wanawake wenye sura nzuri wanakosa kuolewa? Na vile wenye sura za kawaida tu ndo wengi wao wameolewa?
ni wachapa kazi na ubahili wa maendeleo. Ila ukimnyanyasa anakupiga chini dakika sifuri
 
Back
Top Bottom