Gholofa?Nimejenga gholofa nmemtumia Fundi James 0615813053 .
Gholofa mkuu haitaki ubabaifu uyo jamaa anajua kazi na mzoefu nimemtumia ghalama ndogo yangu imeisha
Umejenga wapi kaka? Upo Dar? AsanteNimejenga gholofa nmemtumia Fundi James 0615813053 .
Gholofa mkuu haitaki ubabaifu uyo jamaa anajua kazi na mzoefu nimemtumia ghalama ndogo yangu imeisha
Gharama ndogo ni shilingi ngapi?Nimejenga gholofa nmemtumia Fundi James 0615813053 .
Gholofa mkuu haitaki ubabaifu uyo jamaa anajua kazi na mzoefu nimemtumia ghalama ndogo yangu imeisha
Mkuu naomba uweke hiyo Ramani yako nikupe ushauri zaidiHabari wakuu,
Mungu akipenda,mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja.
Paka sasa, Nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.
Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu. nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza gharama. Natka kujua kama kuna mtu hapa ameshawai kujenga kwa kutumia fundi wa kawaida.
Pili, naomba msaada kuju makisio bila finishing kwa nyumba ya 98sqm.
Asante kwa mda wenu.
MadaleUmejenga wapi kaka? Upo Dar? Asante
Amesema yupo Ukongajames yuko wapi. tujue
More sqm on small piece of land.Kutumia local fundi kujenga ghorofa ni kweli inaokoa gharama, lakini hakikisha awe na uzoefu, pia kuwe na msimamizi anayeweza kumsimamia fundi. Fundi hata awe mzoefu vipi bila kusimamiwa na mtu anayejua(mtaalamu) huwa wanafanya makosa mengi sana
Gharama inategemea na aina ya jengo(drawings)
Swali langu kwa nn watu mnapenda ghorofa? Sijaona sababu sana
Gholofa?Nimejenga gholofa nmemtumia Fundi James 0615813053 .
Gholofa mkuu haitaki ubabaifu uyo jamaa anajua kazi na mzoefu nimemtumia ghalama ndogo yangu imeisha
Bongo wengi wanaojenga magjoroft wanajenga kwenye viwanja vikubwaMore sqm on small piece of land.
4 or 5 bedroom house with library,2 living rooms,spacious kitchen,utility room,4 bathrooms etc
Hata kama utatumia fundi mzoefu, usimuachie afanye kazi yote peke yakeHabari wakuu,
Mungu akipenda, mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja.
Mpaka sasa, nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.
Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu, nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza gharama. Nataka kujua kama kuna mtu hapa ameshawahi kujenga kwa kutumia fundi wa kawaida.
Pili, naomba msaada kuju makisio bila finishing kwa nyumba ya 98sqm.
Asante kwa muda wenu.
Mimi nakushauri umpate Mhandisi Mzoefu wa Ujenzi wa Nyumba hasa Ghorofa. Huyu utamlipa fedha kidogo kwa aajili ya kumsimamia Fundi Juma ili asichakachue ratio za materials.Habari wakuu,
Mungu akipenda, mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja.
Mpaka sasa, nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.
Naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu, nataka kutafuta fundi Juma ambaye ana uzoefu kujenga ghorofa, anisaidie kujenga ili kupunguza gharama. Nataka kujua kama kuna mtu hapa ameshawahi kujenga kwa kutumia fundi wa kawaida.
Pili, naomba msaada kuju makisio bila finishing kwa nyumba ya 98sqm.
Asante kwa muda wenu.
Kule juu kuna upepo mwanana halafu tunawachungulia majirani hapo chini 🤣Kutumia local fundi kujenga ghorofa ni kweli inaokoa gharama, lakini hakikisha awe na uzoefu, pia kuwe na msimamizi anayeweza kumsimamia fundi. Fundi hata awe mzoefu vipi bila kusimamiwa na mtu anayejua(mtaalamu) huwa wanafanya makosa mengi sana
Gharama inategemea na aina ya jengo(drawings)
Swali langu kwa nn watu mnapenda ghorofa? Sijaona sababu sana
ilitumia millionngapiNimejenga gholofa nmemtumia Fundi James 0615813053 .
Gholofa mkuu haitaki ubabaifu uyo jamaa anajua kazi na mzoefu nimemtumia ghalama ndogo yangu imeisha