Najaribu kuwaza huo ubora wa mbao zinazotakiwa kutumika, weledi wa fundi atakayejenga....pamoja na viwango vya kihandisi vinavyotakiwa ili ujenzi huu ukidhi viwango vinavyotakiwa...unaweza kujenga gholofa kwa kutumia wood,yani pale middle floor instead ya nondo na zege,ukaweka wooden floor..naona ni cheap,nina jenga 3bedroom house apartment,down floor na juu vina fanana(for apartment)..imesaidia pia hata kwenye msingi chini coz wooden middle floor hai bebi zege/nondo nyingi so sija tumia sana hela nyingi on base...kama u can angalia nyumba za U.K nyingi zina jengwa hivyo na ni cheaper.
*angalizo,usiwe ujenzi wa kuwaza,yani isiwize umeweka wooden middle floor,juu ujaziba mbao zita haribika,kwa middle floor ya zege hamna shida unaweza kwenda mdogo mdogo.
Kama inawezekana tuwekee picha tujifunze