Ushauri: Nataka kutafuta "Fundi Juma" mwenye uzoefu wa kujenga ghorofa ili kupunguza gharama

Najaribu kuwaza huo ubora wa mbao zinazotakiwa kutumika, weledi wa fundi atakayejenga....pamoja na viwango vya kihandisi vinavyotakiwa ili ujenzi huu ukidhi viwango vinavyotakiwa...
Kama inawezekana tuwekee picha tujifunze
 
Limeshuka moja Kariakoo
kujenga ghorofa tena zaidi ya 1 kwa matumizi ya biashara inahitaji umakini mkubwa maana jengo linahusisha watumiaji wengi kwa wakati mmoja pamoja na load kubwa sasa ujenzi wa kariakoo una kasoro nyingi ni Mungu tu hunusuru
Nimeshangaa juzi juzi kuona kuna shule ghorofa inajengwa ubungo kwa nondo za mm 12 kwenye nguzo 🤣😭😭😭
 
Najaribu kuwaza huo ubora wa mbao zinazotakiwa kutumika, weledi wa fundi atakayejenga....pamoja na viwango vya kihandisi vinavyotakiwa ili ujenzi huu ukidhi viwango vinavyotakiwa...
Kama inawezekana tuwekee picha tujifunze
Muhimu sana
 
mkuu nategemea kuezua slabu yangu weekend hii kama utahitaji mbao,marine boards na mirunda nitakuuzia kwa bei nzuri nimeitumia mara moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…