cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Safi sana mzee akili ya kazi mjini hapa unaoa sherehe kubwa alaf unaenda kupanga upuuzi kajenge mzeee wakichukia si ushafanya maamuzi yako tayari big upWadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri