Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

Plan a

Fanya harusi ya 10m then nyingine save kwa ajili ya ujenzi..hapo cheza na mhasibu pamoja na suppliers Kama utaamua kufanya mjini..zile serving za 10%kwenye kila components mhasibu akutunzie...zawadi chagua hela na so material na wewe kuwa wazi kwa kamati kuwa pamoja na michango ungetamani harusi ya moderate status ili usave kwa ajili ya ujenzi...na kingine sio wore wanaochanga huwa wanakuja...Kuna hao walio nje ya nchi..marafiki wa mbali na ndugu wa mbali so 10-15m inaweza kabisa kufanya wedding ya status ya kati...

From beginning hukutakiwa kuwasilisha mchango wa watu ambao una uhakika [emoji817] kuwa hawawezi Kuja...ungeanza kufanya serving mapema Sana...wale watu ungewapa namna na account yako au mtu wako wa karibu Sana ...wakituma unachuja Kama anakuja unawasilisha katika kamati na Kama haji Basi unasave...

Plan b
Badilisha location ya harusi iwe kijijini/wilayani ulipotoka

Ukienda kijijini 10m inafanya bonge la harusi...badilisha location kwa lengo la Corona....Kijijini ni chakula na kunywa tu pombe za kienyeji na nyama choma..mziki...mapambo na MC havizidi 2m....inayobaki 8m Ni vyakula na vinywaji tu....
 
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa

Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu

Naomba ushauri
Utakuwa lipumbavu!
 
Bibi harusi labda awe na ubongo wa kiume. Ndio atakubali hilo wazo. Wanawake na harusi ni kama maji na samaki

Mnatukosea sana “wanawake “!!

Ina maana umeshindwa kabisa kutofautisha slay queen na mwanamke?!? Sio poa Chief!!
 
Jidai umetekwa siku 3 ukachorwe makeup za majeraha kwa 200k alaf urud uwaambie umechezea kichapo na hela wamebeba imebaki m1½ tu ufanye sherehe ndogo
 
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa

Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu

Naomba ushauri
Samahani mkuu ila story kama ina harufu ya chai, tangawizi kwa mbaaali...
Watu wenye uwezo ya kuchanga 42m ni watu wenye uelewa wa mambo ya hela kwa hiyo ni lazima kuwe na kamati mbali mbali ikiwemo kusimamia michango. Haiingii akilini bwana harusi akusanye na ashike michango ya 42m!!

Sasa kama ni kweli hili limetokea, kwamba hakuna kamati, michango unakusanya mwenyewe basi una bahati kuzungukwa na mazwazwa!! Wapige, kajenge nyumba yako. Inawezekana hata hiyo jumla uliyonayo hawaijui. No accountability.
 
Mtu wa kuchangiwa 42mil za harusi akae nazo mwenyewe..hawezi kuwa na mawazo haya
 
Mkuu harusi ni yako, michango umechangiwa usikubali kuyumbishwa.
Kajenge kimya kimya, kisha oa kimya kimya.
Kama zikija lawama pokea tu na maisha yatasonga
 
Back
Top Bottom