Safi sana mzee akili ya kazi mjini hapa unaoa sherehe kubwa alaf unaenda kupanga upuuzi kajenge mzeee wakichukia si ushafanya maamuzi yako tayari big upWadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
Aende na bajeti ya 30m. Atafute kampuni wa design nyumba ya thamani hiyo. 2 bedrooms, sebule, jiko, store etc.Kwa hali ilivyo sasa mkuu, iyo michango itakusogeza kupiga kozi 3
Unda kamati mkuu. Itakushauri vizuri sanaWadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
Igawe hiyo pesa. 15 mil fanya harusi iliyobaki sepa nayo na uende ukajenge kweliWadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
42m ya zimbabwe au ya burundiWadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
Kwani kaiba ama kamdhulum mtuHizo sio hela zako mkuu unatafuta kuishi kwa wasiwasi
Lakini atakuwa na nyumbaUsiwaze hivyo kabisa mzee. Labda punguza gharama za sherehe tuu.
Vinginevyo uchafu wa jina utakaojizolea hauji pata marafiki kamwe ktk maisha yako na Mungu atakuhukumu kadiri ya utapeli wako.
Fanya ulicholenga.