Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

Boss umechelewa sana sijui kama utaweza kuelezea radha ya kiti moto maana nguruwe wa sasa nao kama wadada wa mjini hawana radha kabisa sijui wanalishwa nini
Huitaji umekua mkubwa so sokoni unaweza kuta nyama ya nguruwe ambaye alikua bado kuliwa
 
Nakupea ofa kilo mbili,Moja kula on spot,Moja be a kale nyumbani...Karibu chamani
 
Kiwanja kingine kipo pale karibu na riverside ubungo... Citypork inaitwa jirani na micasa
 
Ukiwatoa wale wasiokula nyama ya Nguruwe kwa sababu za kiafya eg allergic etc the rest ni wanafiki tu.

Wanazini,wanaiba,wanasengenya wengine ni wachoyo hao hizo kwao siyo dhambi lakini kula Nguruwe kwao ndiyo dhambi,wana wazimu hao!
Ukila wewe inatosha[emoji419],
 
Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni..

Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu?

Je nimsindikize na ndizi ama kaugali?

Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha

Tupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom