mkojo wa bhange
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 560
- 639
Naona kama anachelewa kuja...tena anaingia na mtaji wa mil 10...watu tuliingia bila mia moja na maisha yakaenda....sipendi wanaomtia ujinga eti aendelee kuajiriwa wakati anafanya kazi zake.Karibu sana kwenye haya maisha ya kujiajiri,ni raha mustarehe,fursa zipo kibao,,hakuna cha bosi wala mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu