Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo gari ukizingatia masharti wala hazina shida....tatizo gari kama hilo linachokonolewa na mafundi wa kupiga ramli litaacha kuzingua kweli??Yaani nauza Carina nisumbue na fuga ,kumbe kuna majanga uko.
Weka pichaNinalo zuri kabisa namba C nataka 8mil cash....
Muanzisha mada katokomea kusiko julikana....Weka picha
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Atakua kaenda service [emoji3]
Weka picha
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Weka specifications zakeNinalo zuri kabisa namba C nataka 8mil cash....
Service ilifanyikia mkoa gani officer? Nimependa maelekezo yako chiefPole boss....hizo miss zisizoisha mwambie fundi akague ignition coil eneo ambalo nizungushia red.....enwo hilo huwa linakakamaa kwa joto la injini na panaungua na kutoboka kutokana na umeme unaokwenda kweny spark plug.....pakishatoboka tu sylinder husika haichomi kwa sababu umeme unavuja kuelekea kwenye block engine hivyo miss na fuel consuption huwa juu......
Hizo boot rubber kama zimeungua replace kwa nyingine mpya tatizo litakwisha....au fundi mwingine anaweza kuzungushia insullation tape hapo tatizo likaisha.....
Ni kitu kimeshanitokea mara mbili kwenye Nissan.....Mara ya kwanza nilinunua coil mpya ila mara ya pili tulizungushia tape tu mpaka sasa nakula maisha na mwaka umeshapita
Unaweza ukachokonoa gari mpaka ujute kumbe ni kakitu kadogo tu...
Jaribu pia kuangalia hilo kwanzaView attachment 995173
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya kwanza mwaka 2016 nilifanyia Arusha na mara ya pili nilifanyia Dar mwaka 2017..mpaka sasa gari iko fiti nakula kiyoyoziService ilifanyikia mkoa gani officer? Nimependa maelekezo yako chief
nafuatilia kwa karibu mno. namishukuruni sana membersMwenye huu uzi katwekwa nini??!
hafuatilii mrejesho unaotolewa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
@Boeing 747 dogo langu huku nae Kuna mtu anataka kumuachia kwa hela ya kawaida ila imepaki na tatizo ndio Kama Hilo lilivyoanza., Akiichukua ntampa maelekezo umpe uelekeo wa wapi jijini Dar atapata Service hio mkuuMara ya kwanza mwaka 2016 nilifanyia Arusha na mara ya pili nilifanyia Dar mwaka 2017..mpaka sasa gari iko fiti nakula kiyoyozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kupigiwa tungeona Picha tujue kidogo ,rangi ganiKama uko serous unalitaka nipigie namba 0685520568.....