USHAURI: Naweza kufunga Engine ya 1G kwenye Nissan Fuga??

USHAURI: Naweza kufunga Engine ya 1G kwenye Nissan Fuga??

clasi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
379
Reaction score
716
Wadau nilinunua Nissan Fuga kwa mtu Dar ila imeanza kuzingua mis za kutosha na inabugia mafuta kama jini. Mafundi wengi wanabahatisha kwa hii gari nawaza nibadilishe engine nifunge 1G-FE msaada kwa wajuzi
 
Kweli fuga balaaa

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Pole boss....hizo miss zisizoisha mwambie fundi akague ignition coil eneo ambalo nizungushia red.....enwo hilo huwa linakakamaa kwa joto la injini na panaungua na kutoboka kutokana na umeme unaokwenda kweny spark plug.....pakishatoboka tu sylinder husika haichomi kwa sababu umeme unavuja kuelekea kwenye block engine hivyo miss na fuel consuption huwa juu......
Hizo boot rubber kama zimeungua replace kwa nyingine mpya tatizo litakwisha....au fundi mwingine anaweza kuzungushia insullation tape hapo tatizo likaisha.....
Ni kitu kimeshanitokea mara mbili kwenye Nissan.....Mara ya kwanza nilinunua coil mpya ila mara ya pili tulizungushia tape tu mpaka sasa nakula maisha na mwaka umeshapita
Unaweza ukachokonoa gari mpaka ujute kumbe ni kakitu kadogo tu...

Jaribu pia kuangalia hilo kwanza
IMG_20190115_150048_511.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nauza Carina nisumbue na fuga ,kumbe kuna majanga uko.
Hizo gari ukizingatia masharti wala hazina shida....tatizo gari kama hilo linachokonolewa na mafundi wa kupiga ramli litaacha kuzingua kweli??
Magari ya sasa diagnosis ndiyo kila kitu...

Hiyo Nissan inamsumbua na itakuwa ni katatizo kadogo ila mafundi wa bongo sasa....[emoji23][emoji23]

Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole boss....hizo miss zisizoisha mwambie fundi akague ignition coil eneo ambalo nizungushia red.....enwo hilo huwa linakakamaa kwa joto la injini na panaungua na kutoboka kutokana na umeme unaokwenda kweny spark plug.....pakishatoboka tu sylinder husika haichomi kwa sababu umeme unavuja kuelekea kwenye block engine hivyo miss na fuel consuption huwa juu......
Hizo boot rubber kama zimeungua replace kwa nyingine mpya tatizo litakwisha....au fundi mwingine anaweza kuzungushia insullation tape hapo tatizo likaisha.....
Ni kitu kimeshanitokea mara mbili kwenye Nissan.....Mara ya kwanza nilinunua coil mpya ila mara ya pili tulizungushia tape tu mpaka sasa nakula maisha na mwaka umeshapita
Unaweza ukachokonoa gari mpaka ujute kumbe ni kakitu kadogo tu...

Jaribu pia kuangalia hilo kwanzaView attachment 995173

Sent using Jamii Forums mobile app
Service ilifanyikia mkoa gani officer? Nimependa maelekezo yako chief
 
Mara ya kwanza mwaka 2016 nilifanyia Arusha na mara ya pili nilifanyia Dar mwaka 2017..mpaka sasa gari iko fiti nakula kiyoyozi

Sent using Jamii Forums mobile app
@Boeing 747 dogo langu huku nae Kuna mtu anataka kumuachia kwa hela ya kawaida ila imepaki na tatizo ndio Kama Hilo lilivyoanza., Akiichukua ntampa maelekezo umpe uelekeo wa wapi jijini Dar atapata Service hio mkuu
 
Back
Top Bottom