Ushauri: Ndugu wameharibu ndoa ya dada yangu

Sioni kama ndugu wameharibu bali dada mwenyewe. Kama hakutaka kurudi ndugu wafanye nini?
Binafsi siwezi kumlazimisha dada yangu arudi sehemu ambayo hataki.... Si unasikia mauaji daily? Huwezi jua alichopitia huko ndoani....
 
Sioni kama ndugu wameharibu bali dada mwenyewe. Kama hakutaka kurudi ndugu wafanye nini?
Binafsi siwezi kumlazimisha dada yangu arudi sehemu ambayo hataki.... Si unasikia mauaji daily? Huwezi jua alichopitia huko ndoani....
Sasa Kama ananyanyasika, mbn yalipomshinda sahv analia tumsaidie asamehewe na mmewe?
 
Uwa nakuona una hekima na busara sana hapa umepotoka pakubwa sana. Umekosea umemtukana na kumdhalilisha mtu bila aibu.
Hekima ni pamoja na kuambiana ukweli huyu bwana alikosea kumpokea na kukaa na huyo dada ake tatizo lilianzia hapo
 
Sioni kama ndugu wameharibu bali dada mwenyewe. Kama hakutaka kurudi ndugu wafanye nini?
Binafsi siwezi kumlazimisha dada yangu arudi sehemu ambayo hataki.... Si unasikia mauaji daily? Huwezi jua alichopitia huko ndoani....
Naona alimpiga ndio maana.
 
Mbona hapo cjaona kuw kama ndugu wameshirik kuvunja ndoa

Dada yako ametoka kwa mme wake amekuja kwako ( ukamfukuza ili arudi kwa mumew baada ya kuongea nae na mwanaume alikuw hana shida yupo tayar wayamalze wenyew

Dada ako akagoma akaenda kwa. Ndugu wengine kukaa huko huoni tuu mtu wa kwanz kuvunja ndoa ni huyo mwanamke (yeye BINAFS)


Kwan ni wew maan umetumia uwezo mdogo wa kuchanganua na kutupa rawama kwa ndugu ambao wao ni daraja la 3/4
 
BASI KWENYE MATUKIO KAMA HAYA NDUGU MARAFIKI WANAKUWA BEGA KWA BEGA NA WEWE,
UJIONDOSHE KWAKO KISHA UKAANZE KUTANGA TANGA KUKAA HUKO NA KULE.

YAKITOKEA YA KUTOKEA, WALE WALE WASHAURI WA KUTENGANA KWENU. WANAKUA KIMYA, HAWANA MSAADA WOWOTE HATA WA KIMAWAZO.
UNAKUA UMEHARIBU HUKU KWAO NA KULE KWAKO.
UNAGEUKA KUA MJADALA MIDOMONI KWAO!
 
Kwanza hongera kwa kusimama kama mwanaume, pili hongera kwa kupata bwashe anaye jitambua, waulize hao ndugu leo wanataka dada arudi kwa mnyanyasaji? Wekaa pembeni kama mwanzo
Wamalizie ngoma waliyo anza kuicheza
 
Ndoa ni ya watu wawili ukiweka mtu wa tatu lazima ivunjike...

Mwambie dada yako Aache utoto...
Kipindi hauna mimba unabembelezwa unaringa, upo kwa ndugu zako. Unasema jamaa ni mnyanyasaji.
Imepita miezi kadhaa unakuja na mimba kubwa unataka kujifunguaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hayupo mwanaume mwenye akili timamu na rijali atakupokea Hata ningekuwa mimi, ndugu zako watalea hiyo mimba na mpango na wewe sina hata ungelia machozi ya damu.
 
Wanaume tunapitia mengi sana, imagine huyo dada kapewa mimba na mtu mwingine lkn anataka kumpatia mumewe mzigo wa malezi.
Wanawake wana akili za kitoto sana na huchukulia mambo mepesi hapo ataweza hata kujidhuru ili uamini ni mimba ya jamaa. Amebembelezwa arudi lkn kang'ang'ania kwa ndugu zake, amepata mimba ndiyo anakumbuka arudi kwa mumewe mnyanyasaji πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Usiishi na mwanamke kwa kumuonea huruma akishindwa kufuata masharti yako timua.
 
Kumbafu sana, wanaume huwa tunabebeshwa misalaba sana.
Ajifungue wakapime DNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…