Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Kama ananyanyasika, mbn yalipomshinda sahv analia tumsaidie asamehewe na mmewe?Sioni kama ndugu wameharibu bali dada mwenyewe. Kama hakutaka kurudi ndugu wafanye nini?
Binafsi siwezi kumlazimisha dada yangu arudi sehemu ambayo hataki.... Si unasikia mauaji daily? Huwezi jua alichopitia huko ndoani....
Hekima ni pamoja na kuambiana ukweli huyu bwana alikosea kumpokea na kukaa na huyo dada ake tatizo lilianzia hapoUwa nakuona una hekima na busara sana hapa umepotoka pakubwa sana. Umekosea umemtukana na kumdhalilisha mtu bila aibu.
Naona alimpiga ndio maana.Sioni kama ndugu wameharibu bali dada mwenyewe. Kama hakutaka kurudi ndugu wafanye nini?
Binafsi siwezi kumlazimisha dada yangu arudi sehemu ambayo hataki.... Si unasikia mauaji daily? Huwezi jua alichopitia huko ndoani....
🤣🤣🤣🤓Hilo Ni tusi umenitukana dada angu[emoji29]
Kweli kabisa akafie mbaliWanaume tunapitia mengi sana, imagine huyo dada kapewa mimba na mtu mwingine lkn anataka kumpatia mumewe mzigo wa malezi.
Ukiachana na maji kinywaji gani kingine unatumiaNingekua mi ndo bwashe wako wote ningewatia makofi wewena sister ako.
Muache upuuzi.
Kwanza hongera kwa kusimama kama mwanaume, pili hongera kwa kupata bwashe anaye jitambua, waulize hao ndugu leo wanataka dada arudi kwa mnyanyasaji? Wekaa pembeni kama mwanzoWakuu,
Mwezi Mei mwaka jana, kuna dada yangu mmoja aligombana na mumewe na kukimbilia kwangu. Nilipoongea na mumewe, akasema yeye hana tatizo nae, arudi tu wayamalize.
Nilipomsihi dada arudi wakayamalize, akawa hataki, anang'ang'ania aendelee kuishi kwangu tu. Nikaamua kumfukuza aondoke, kwangu sina nafasi ya kuhifadhi mke wa mtu mimi.
Kumbe alivotoka kwangu akahamia kwa ndugu wengine wakampokea akaishi. Nikawa naskia tu, sasa dada anakaa kwa ndugu flani, mara kahamia kwa ndugu mwingine, kwa mumewe kagoma kabisa kurudi.
Nimewasihi ndugu zangu sio vizuri kukaa na mke wa mtu majumbani kwenu, hawataki kunielewa, wanadai namtetea sana mume wa dada yangu, nataka mpk afe ndo nijue mumewe ni mnyanyasaji wa kijinsia.
Wakasema kama mumewe anamtaka mkewe basi amfate mwnyw ukweni na akaiombe radhi familia, vinginevyo asahau kabisa kama alishawai kumuoa ndugu yao. Nikaamua kujiweka kando na hayo mambo.
Amekuja kurudi kwa mumewe mwezi huu tar 02 (miezi 11 imepita) akiwa na mimba ya kubwa sana. Mumewe kagoma kabisa kumpokea akidai mkewe aliondoka akiwa hana mimba, inakuaje arud kwake akiwa na mimba? Hiyo mimba sio yake.
Nmemhoji dada yangu, anadai ile mimba ni ya mumewe 100% na aliondoka nayo, ila alishindwa kumtaarifu mumewe kutokana na ugomvi uliokuepo kati yao.
Ndugu waliomhifadhi miezi yote hiyo wananipigia kunisihi niongee na shemeji yangu, ampokee mkewe maana ni mjamzito sana anaweza kujifungua muda wowote. Nimewaambia hiyo kazi siifanyi, fanyeni nyie wenyewe mlioyasababisha. Wanadai jamaa hawezi kuwaelewa, walishagombana tayari na hawapokelei kabisa simu zao.
Nmemtafuta shemeji, anachosema ni kwamba, kama kweli mkewe aliondoka na mimba yake ile mwezi Mei mwaka jana walipogombana, basi mwaka huu mwezi January au February alitakiwa awe tayari keshajifungua mtoto.
Sasa hivi ni mwezi March, ni miezi 11 tangu mkewe aondoke bado ni mjamzito hajajifungua, hivyo kwa vyovyote vile ile mimba sio yake. Kaipatia huko huko kwa ndugu zake na kwa tafsiri hiyo, hamna ndoa tena hapa.
Kiukweli mpaka sasa kichwa kimepata moto, sielewi nifanye nini dada yangu akae sawa maana analia muda wote (na hii mimba alionayo nahisi itamletea shida au huenda akajidhuru).
Pia nishauri nini kifayike ikiwezekana arudiane na mumewe, maana jamaa hataki hata kumskia mkewe wala habari zake na kahama kabisa pale nyumbani, kaenda kupanga sehemu nyumba nyingine kabisa.
Nawasilisha. [emoji120]
Kipindi hauna mimba unabembelezwa unaringa, upo kwa ndugu zako. Unasema jamaa ni mnyanyasaji.Ndoa ni ya watu wawili ukiweka mtu wa tatu lazima ivunjike...
Mwambie dada yako Aache utoto...
Wanawake wana akili za kitoto sana na huchukulia mambo mepesi hapo ataweza hata kujidhuru ili uamini ni mimba ya jamaa. Amebembelezwa arudi lkn kang'ang'ania kwa ndugu zake, amepata mimba ndiyo anakumbuka arudi kwa mumewe mnyanyasaji 😀😀😀😀Wanaume tunapitia mengi sana, imagine huyo dada kapewa mimba na mtu mwingine lkn anataka kumpatia mumewe mzigo wa malezi.
Si ana mtaji wake huko chini?Another single mom in town...
Kumbafu sana, wanaume huwa tunabebeshwa misalaba sana.Kipindi hauna mimba unabembelezwa unaringa, upo kwa ndugu zako. Unasema jamaa ni mnyanyasaji.
Imepita miezi kadhaa unakuja na mimba kubwa unataka kujifungua😀😀😀😀😀
Hayupo mwanaume mwenye akili timamu na rijali atakupokea Hata ningekuwa mimi, ndugu zako watalea hiyo mimba na mpango na wewe sina hata ungelia machozi ya damu.
Huyo siyo wa kupokea. Ajifungue kwa ndugu zake huko alipokuwa anaishi na akae huko huko maisha yake yote.Kumbafu sana, wanaume huwa tunabebeshwa misalaba sana.
Ajifungue wakapime DNA
Ndg wanajifanya wema, sasa si wamuoeHuyo siyo wa kupokea. Ajifungue kwa ndugu zake huko alipokuwa anaishi na akae huko huko maisha yake yote.
Ndugu huwa wanafiki sana hasa hawa wakike, wanaharibu halafu wanatulia (wanakaa pembeni) wanamuachia mhusika apambane na hali yakeNdg wanajifanya wema, sasa si wamuoe