Ushauri: Ndugu wameharibu ndoa ya dada yangu

Ulivyompokea? Source of all will be yourself.
Haupo sawa! Na unamkosea sana huyo ndugu. Mwombe radhi.

Yaani dada yake akikimbilia kwake alitakiwa amkatae?
Siyo ampokee halafu ahusike kwenye kuwapatanisha?
Kama alifanya juhudi ikashindikana mpaka akamtimua kwake, ndo alimtia mimba?

Jichunguze
 
Inawezekana hiyo Mimba ni ya mume wake, Maana wanawake wakipata ujauzito kuna hali ya kumchukia mumewe inaongezeka. Ndiyo sababu iliyopelekea wakagombana.

Nini cha kufanya (ushauri wangu);
1. Ni wazi Mke alifanya kosa la kutomjulisha mapema mume kuwa anaujauzito, hivyo asubiri hadi ajifungue. Kisha aende ustawi wa Jamii wamsaidie process za kupima DNA (Watoto wa hivi huwa wanakujaga kufanana sana na Baba zao)

2. Kama huo ujauzito ukibainika ni wa mchepuko ambaye ndiye aliyempa kiburi, Dada yenu apambane tu na usingo Mother.
 
Wakuu,

Mwezi Mei mwaka jana, kuna dada yangu mmoja aligombana na mumewe na kukimbilia kwangu. Nilipoongea na mumewe, akasema yeye hana tatizo nae, arudi tu wayamalize.

Nilipomsihi dada arudi wakayamalize, akawa hataki, anang'ang'ania aendelee kuishi kwangu tu. Nikaamua kumfukuza aondoke, kwangu sina nafasi ya kuhifadhi mke wa mtu mimi.

Kumbe alivotoka kwangu akahamia kwa ndugu wengine wakampokea akaishi. Nikawa naskia tu, sasa dada anakaa kwa ndugu flani, mara kahamia kwa ndugu mwingine, kwa mumewe kagoma kabisa kurudi.

Nimewasihi ndugu zangu sio vizuri kukaa na mke wa mtu majumbani kwenu, hawataki kunielewa, wanadai namtetea sana mume wa dada yangu, nataka mpk afe ndo nijue mumewe ni mnyanyasaji wa kijinsia.

Wakasema kama mumewe anamtaka mkewe basi amfate mwnyw ukweni na akaiombe radhi familia, vinginevyo asahau kabisa kama alishawai kumuoa ndugu yao. Nikaamua kujiweka kando na hayo mambo.

Amekuja kurudi kwa mumewe mwezi huu tar 02 (miezi 11 imepita) akiwa na mimba ya kubwa sana. Mumewe kagoma kabisa kumpokea akidai mkewe aliondoka akiwa hana mimba, inakuaje arud kwake akiwa na mimba? Hiyo mimba sio yake.

Nmemhoji dada yangu, anadai ile mimba ni ya mumewe 100% na aliondoka nayo, ila alishindwa kumtaarifu mumewe kutokana na ugomvi uliokuepo kati yao.

Ndugu waliomhifadhi miezi yote hiyo wananipigia kunisihi niongee na shemeji yangu, ampokee mkewe maana ni mjamzito sana anaweza kujifungua muda wowote. Nimewaambia hiyo kazi siifanyi, fanyeni nyie wenyewe mlioyasababisha. Wanadai jamaa hawezi kuwaelewa, walishagombana tayari na hawapokelei kabisa simu zao.

Nmemtafuta shemeji, anachosema ni kwamba, kama kweli mkewe aliondoka na mimba yake ile mwezi Mei mwaka jana walipogombana, basi mwaka huu mwezi January au February alitakiwa awe tayari keshajifungua mtoto.

Sasa hivi ni mwezi March, ni miezi 11 tangu mkewe aondoke bado ni mjamzito hajajifungua, hivyo kwa vyovyote vile ile mimba sio yake. Kaipatia huko huko kwa ndugu zake na kwa tafsiri hiyo, hamna ndoa tena hapa.

Kiukweli mpaka sasa kichwa kimepata moto, sielewi nifanye nini dada yangu akae sawa maana analia muda wote (na hii mimba alionayo nahisi itamletea shida au huenda akajidhuru).

Pia nishauri nini kifayike ikiwezekana arudiane na mumewe, maana jamaa hataki hata kumskia mkewe wala habari zake na kahama kabisa pale nyumbani, kaenda kupanga sehemu nyumba nyingine kabisa.

Nawasilisha. 🙏
Mkuu, sehemu zote3 zina mapungufu makubwa katika mgogoro huu.

1. Wewe:
katika mgogoro wa ndoa, nduguyo kakimbia kwa mumewe kukimbilia kwako kupata suluhu, wewe ukamfukuza kabla haujamuita shemeji yako na kukaa nao wote kusikiliza pande mbili kupata cha kushauri na kuamua, kama yangelikuzidi, watu wenye busara hawakosi wangelikusaidia kumaliza tatizo.

2. Mume:
Huyo jamaa kabeba dhima ya mgogoro mzima huo, kwa sababu mke kamkimbia bila kuchukua hatua za kumfuatilia alikokimbilia ili kumaliza tatizo(tatizo humalizwa kwa njia yoyote iwe kwa heri ama kwa shari).

Ni utoto kwa mume, mke aliyekukimbia kwa migogoro kudai arudi mwenyewe kabla ya kumfuata alikokimbilia kwenda kusuluhishwa.

3. Nduguzo anapoishi dada kwa sasa:

Kama waliamua kuweka msimamo wao wa kumhifadhi ndugu yao hadi hapo mgogoro utakapopatiwa ufumbuzi hawajafanya kosa lolote, bali kosa ni kulegeza masharti na kumuacha arudi mwenyewe kwa mume huku akiwa ameishi nje ya ndoa takribani mwaka mzima na tayari ni mja mzito.

Walitakiwa wabakie naye muda wote mpaka mwisho wa shauri.

Sijaona popote ulipowahusisha wazazi, yawezekana washafariki na kama ni wazima, kuimaliza issue hiyo ni jukumu lao la msingi sana.

Lakini sasa kama mmebakia ninyi wazawa, ni jukumu lenu kulinda haki za ndugu yenu.

Cha kufanya:
Ndoa tafsiri yake ni muunganiko wa jinsia mbili tofauti zilizo kubaliana kwa hiyari kuishi pamoja.

Katika muungano huo, mmoja wapo akiamua kuchoka kuishi na mwenzake huwa halazimishwi, ila kuna taratibu za kufuatwa ili kulinda haki ya kila mmoja wa wanandoa.

Mshauri dada yako akaanzie kwa viongozi wa kimadhehebu alikofungia ndoa na kama ni ndoa ya Kiserikali, basi akaanzie kwa mwenyekiti wa Serikali za mtaa huko kwa mumewe ili kuanza kudai haki zake za ndoa toka kwa mumewe.

Kama jamaa atakaza fuvu, Mwenyekiti ataisongesha Katani.

Kama kwenye Kata wakishindwa, shauri watalisongesha mahakamani.

Asikosee kuiruka ngazi hata moja, maana mahakama huangalia sana kama ngazi zote za usuluhishi zilifuatwa.

Huyo shemeji yenu inaonekana alishawadharau, angelikuwa na heshima, hata kama alikosewa na dada yenu vipi, ni upumbafu kiwango cha Sgr kwa mwanaume kupuuzia wito wa suluhu pindi mnapokuwa mmeingia kwenye mgogoro wa kindoa na mkeo.

Yanayoendelea sasa kati ya shemeji yako pamoja na dada yako, yapo juu ya uwezo wenu, jamaa ataendelea kuwapiga dana dana kwa sababu tayari alisha mhukumu ndugu yenu kwamba kabeba mimba nje ya ndoa na kwamba mimba si yake, wakati kuna misingi ya kisheria ya kulitambua hilo na si kwa hoja muflisi kama hizo.
 
Doh yani hapo sasa kama hela ipo na wapo tayari kufanya DNA waende tu sababu ukijaribu kuangalia kuna utata hapo mwanaume namuelewa na mwanamke namuelewa ila kuna jambo lazima lifanyike kuweka hali ya kuaminiana tena.
Je vipi kwa ulimwengu wa kidigital ikawa walikuwa wanakutana kisiri(kuombana msamaha) na npaka kupeana mimba akiwa bado kwa ndugu zake, watu wengine mtahukumu vipi kwamba hiyo mimba si ya mumewe?

Kulithibitisha hilo, njia zipo wazi zinafahamika.
 
Msimlazimishe mtu kurudi kwa mumewe ili hali hataki, dada yako ndiye kaishi naye na anajua halisi huyo mwanaume ni mtu wa aina gani na anajua binafsi ni kwanini hataki tena kurudi alipotoka.

Arudi kuishi kwa wazazi, na nyie kama ndugu zake endeleeni kumpa sapoti ya kumhudumia mpaka hapo mtoto atakapozaliwa. Yameshatokea hayo, maisha mengine ni lazima yaendelee, hakuna haja ya kubaki kutizama kwa majuto mlango uliofunga, wakati kuna mlango uko wazi. Mlango mmoja ukifunga, mwingine hufunguka.

Baba wa mtoto yupo tu, siku moja kitendawili kuhusu Baba kitateguka na Baba atapatikana.
 
Kuwa mbali miezi 11, ni kwamba tayari dada ameshaamua binafsi kuachana, Na hata hapo anapotaka kurudi kwa sasa baada ya mimba kuwa kubwa inawezekana yupo kwenye shida na hakuna wa kumshika mkono ninyi kama ndugu zake. Anarudi kwa sababu ya shida na siyo kwamba anarudi kwa sababu ya mapenzi, kwamba anataka kuendelea kupendana na huyo mwanaume. Mpeni support ya kumhudumia na kumwangalia
 
Wakuu,

Mwezi Mei mwaka jana, kuna dada yangu mmoja aligombana na mumewe na kukimbilia kwangu. Nilipoongea na mumewe, akasema yeye hana tatizo nae, arudi tu wayamalize.

Nilipomsihi dada arudi wakayamalize, akawa hataki, anang'ang'ania aendelee kuishi kwangu tu. Nikaamua kumfukuza aondoke, kwangu sina nafasi ya kuhifadhi mke wa mtu mimi.

Kumbe alivotoka kwangu akahamia kwa ndugu wengine wakampokea akaishi. Nikawa naskia tu, sasa dada anakaa kwa ndugu flani, mara kahamia kwa ndugu mwingine, kwa mumewe kagoma kabisa kurudi.

Nimewasihi ndugu zangu sio vizuri kukaa na mke wa mtu majumbani kwenu, hawataki kunielewa, wanadai namtetea sana mume wa dada yangu, nataka mpk afe ndo nijue mumewe ni mnyanyasaji wa kijinsia.

Wakasema kama mumewe anamtaka mkewe basi amfate mwnyw ukweni na akaiombe radhi familia, vinginevyo asahau kabisa kama alishawai kumuoa ndugu yao. Nikaamua kujiweka kando na hayo mambo.

Amekuja kurudi kwa mumewe mwezi huu tar 02 (miezi 11 imepita) akiwa na mimba ya kubwa sana. Mumewe kagoma kabisa kumpokea akidai mkewe aliondoka akiwa hana mimba, inakuaje arud kwake akiwa na mimba? Hiyo mimba sio yake.

Nmemhoji dada yangu, anadai ile mimba ni ya mumewe 100% na aliondoka nayo, ila alishindwa kumtaarifu mumewe kutokana na ugomvi uliokuepo kati yao.

Ndugu waliomhifadhi miezi yote hiyo wananipigia kunisihi niongee na shemeji yangu, ampokee mkewe maana ni mjamzito sana anaweza kujifungua muda wowote. Nimewaambia hiyo kazi siifanyi, fanyeni nyie wenyewe mlioyasababisha. Wanadai jamaa hawezi kuwaelewa, walishagombana tayari na hawapokelei kabisa simu zao.

Nmemtafuta shemeji, anachosema ni kwamba, kama kweli mkewe aliondoka na mimba yake ile mwezi Mei mwaka jana walipogombana, basi mwaka huu mwezi January au February alitakiwa awe tayari keshajifungua mtoto.

Sasa hivi ni mwezi March, ni miezi 11 tangu mkewe aondoke bado ni mjamzito hajajifungua, hivyo kwa vyovyote vile ile mimba sio yake. Kaipatia huko huko kwa ndugu zake na kwa tafsiri hiyo, hamna ndoa tena hapa.

Kiukweli mpaka sasa kichwa kimepata moto, sielewi nifanye nini dada yangu akae sawa maana analia muda wote (na hii mimba alionayo nahisi itamletea shida au huenda akajidhuru).

Pia nishauri nini kifayike ikiwezekana arudiane na mumewe, maana jamaa hataki hata kumskia mkewe wala habari zake na kahama kabisa pale nyumbani, kaenda kupanga sehemu nyumba nyingine kabisa.

Nawasilisha. [emoji120]
Technically baada ya miezi miwili kutoka kwa mumewe alianza kuchakatwa bila protection

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo jamaa kumtia mimba dada ake ndio ukweli na hekima yenyewe?
Huko umeenda mbali sana iko hivi huwezi kaka au dada huwezi mpokea ndugu yako alieolewa na ukaa nae unless uwe wewe ndo umemposa huyo ndugu yako tofauti na hapo amuhifadhi za siku moja then mpeleke kwa wazazi hyo ndo hekima alikosea kumpokea na kukaa nae
 
Na kama wazazi washatangulia mbele za haki, na wewe ndiye ndugu unayetegemewa, unafanyaje?
 
Ndoa ni ya watu wawili ukiweka mtu wa tatu lazima ivunjike...

Mwambie dada yako Aache utoto...
Wanawake wa kizazi hiki hawalielewi hili, wanasikiliza zaidi watu wa nje kuliko wanavyowasikiliza waume zao.

Ni kama wanakuwa wanawashwa hivi, then wanaanza kutafuta justification za kuondoka through ushauri wa nje, ambao mwingi unatolewa na watu wasiotumia busara.
 
Wakuu,

Mwezi Mei mwaka jana, kuna dada yangu mmoja aligombana na mumewe na kukimbilia kwangu. Nilipoongea na mumewe, akasema yeye hana tatizo nae, arudi tu wayamalize.

Nilipomsihi dada arudi wakayamalize, akawa hataki, anang'ang'ania aendelee kuishi kwangu tu. Nikaamua kumfukuza aondoke, kwangu sina nafasi ya kuhifadhi mke wa mtu mimi.

Kumbe alivotoka kwangu akahamia kwa ndugu wengine wakampokea akaishi. Nikawa naskia tu, sasa dada anakaa kwa ndugu flani, mara kahamia kwa ndugu mwingine, kwa mumewe kagoma kabisa kurudi.

Nimewasihi ndugu zangu sio vizuri kukaa na mke wa mtu majumbani kwenu, hawataki kunielewa, wanadai namtetea sana mume wa dada yangu, nataka mpk afe ndo nijue mumewe ni mnyanyasaji wa kijinsia.

Wakasema kama mumewe anamtaka mkewe basi amfate mwnyw ukweni na akaiombe radhi familia, vinginevyo asahau kabisa kama alishawai kumuoa ndugu yao. Nikaamua kujiweka kando na hayo mambo.

Amekuja kurudi kwa mumewe mwezi huu tar 02 (miezi 11 imepita) akiwa na mimba ya kubwa sana. Mumewe kagoma kabisa kumpokea akidai mkewe aliondoka akiwa hana mimba, inakuaje arud kwake akiwa na mimba? Hiyo mimba sio yake.

Nmemhoji dada yangu, anadai ile mimba ni ya mumewe 100% na aliondoka nayo, ila alishindwa kumtaarifu mumewe kutokana na ugomvi uliokuepo kati yao.

Ndugu waliomhifadhi miezi yote hiyo wananipigia kunisihi niongee na shemeji yangu, ampokee mkewe maana ni mjamzito sana anaweza kujifungua muda wowote. Nimewaambia hiyo kazi siifanyi, fanyeni nyie wenyewe mlioyasababisha. Wanadai jamaa hawezi kuwaelewa, walishagombana tayari na hawapokelei kabisa simu zao.

Nmemtafuta shemeji, anachosema ni kwamba, kama kweli mkewe aliondoka na mimba yake ile mwezi Mei mwaka jana walipogombana, basi mwaka huu mwezi January au February alitakiwa awe tayari keshajifungua mtoto.

Sasa hivi ni mwezi March, ni miezi 11 tangu mkewe aondoke bado ni mjamzito hajajifungua, hivyo kwa vyovyote vile ile mimba sio yake. Kaipatia huko huko kwa ndugu zake na kwa tafsiri hiyo, hamna ndoa tena hapa.

Kiukweli mpaka sasa kichwa kimepata moto, sielewi nifanye nini dada yangu akae sawa maana analia muda wote (na hii mimba alionayo nahisi itamletea shida au huenda akajidhuru).

Pia nishauri nini kifayike ikiwezekana arudiane na mumewe, maana jamaa hataki hata kumskia mkewe wala habari zake na kahama kabisa pale nyumbani, kaenda kupanga sehemu nyumba nyingine kabisa.

Nawasilisha. 🙏
So inamaanisha ndugu wanatiana mimba au mie ndio sijaelewa hapa?
 
Hivi yule jamaa yako aliyesusiwa mtoto na mchepuko keshayamaliza mambo yake ya kesi? Kama bado nitafute
 
Hao ndugu zako wengine wanamjua mwenye mimba ila kuna kitu kimebuma mahali either mwenye mimba amewakimbia au anakwepa majukumu ndio wanajifanya kuigiza kama hawamjui mwenye mimba ili wapate usaidizi wa kulea mimba.
Hapo wasikuumize kichwa waachie wenyewe waendeleze mpango wao hadi mwisho ili wapate funzo.
Anadai Ni ya mumewe[emoji4]Ha
 
Mbona hapo cjaona kuw kama ndugu wameshirik kuvunja ndoa

Dada yako ametoka kwa mme wake amekuja kwako ( ukamfukuza ili arudi kwa mumew baada ya kuongea nae na mwanaume alikuw hana shida yupo tayar wayamalze wenyew

Dada ako akagoma akaenda kwa. Ndugu wengine kukaa huko huoni tuu mtu wa kwanz kuvunja ndoa ni huyo mwanamke (yeye BINAFS)

Kwan ni wew maan umetumia uwezo mdogo wa kuchanganua na kutupa rawama kwa ndugu ambao wao ni daraja la 3/4
Mkuu unazijua sheria za ndoa vizuri?
Ukishamuozesha dada yenu au mtoto wenu huyo sio mali yenu tena yuko kwenye himaya nyingine.
Mkimuhitaji kwa shughuli yoyote ile lazima muombe ruhusa kwa mme wake amruhusu kutoka ndio atakuja kwenu.
Mkimchukua kienyeji bila idhini ya mume mnaweza kushitakiwa,kwa mfano kwenye hiyo ishu ya mimba iliyopatikana kwa ndugu zake,mume akiamua kuwa mtata anaweza kuwafungulia kesi kwamba ndugu wameshiriki kumuuza mkewe kwa mwanaume mwingine sema tu huyo mwanamme hapendi makuu na hana muda wa kupoteza kwa mambo ya kijinga ndio maana amewapotezea.
 
Mimba haiwezekani kuwa ya mumewe maana hakuna mimba inayofika miezi 12 kujifungua,muda wa kujifungua huwa ni miezi 9 au miezi 7 ya mtoto njiti
 
Back
Top Bottom