ndugu mteja
Senior Member
- Sep 6, 2022
- 121
- 227
Hawashindwi kabisa mkuu. Ila tatizo kubwa ni kuwa baadhi ya wenye makanisa washaanza kuingia bungeni, wenye bar na clubs ndio haohao wapitisha sheria. Kuna kazi nzito hapo ya kuamua mkuu.Njia pekee ya kistaarabu ni hiyo! Lakini ile yakuwaomba haiwezi kufanikiwa! Kwanza wanaamini kuzima mziki ni pepo mchafu!
Just imagine hata umeme ukikatika huwa wanazani ni pepo limekata umeme!
Hivyo kuwacontrol watu wa namna hii NJIA PEKEE NI DISCOURAGE APPROACH!
wawekee bei! Ya USAJILI WA SPIKA tena bei kubwa! Wapo wataweza wachache lakini nao mwisho wa siku wataacha!
Walifanikisha hilo kwenye chainsaw hawashindwi kwenye mziki