Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

Mkuu umeandika points sana sana tatizo ni hawa wahusika NEMC wapo maofisini tu kusubiri mishahara na kwenda kupiga 'deal' kwa watu wanaoingiza mifuko ya plastics!
umenena sahihi, tatizo ni hao wasimamizi wa sheria, kuanzia ngazi za juu mpaka chini. Waziri anajua hilo tatizo lipo kabakia kutoa matamko asiyoweza kuyafuatilia. Mkurugenzi wa NEMC nae ni mzee wa matamko.

Sheria zipo na ni nzuri sana, ila suala la kelele linashindikana kwa hofu ya kuudhi watu na imani zao lakini pia kuogopa walioshika mamlaka ya kuwajibisha kwani na wao ndio miongoni mwa wamiliki wa kumbi za starehe zenye kukera jamii.
 
Wasibague Bali zoezi liwe la kitaifa na liguse kila mtumiaji wa mziki mkubwa mtaani lazima awe na kibali!
Tatizo ni mfumo, kibali anatoa BASATA, mgogoro anatupiwa NEMC. NEMC akienda kuwajibisha anakuta kibali cha BASATA!!!

BASATA anatoa kibali bila kwenda kuangalia sight. Anatoa kibali Grade 'A' wakati aliepewa kibali hana ukumbi wenye sound proof!!
 
Wameshindwa kucontrol vituo vya mafuta ile sheria hawaifuati, wataweza kwenye miziki kweli, haya njoo mipango miji kila nyumba ina fremu ya biashara ndio maana hata sipermarket au malls kwa Tanzania hazina deal, wangeweka wazi makazi ya watu hapatakiwi kuwe na viduka au vifremu tungekua na makazi bora yenye utulivu lakini sasa ni balaa
Huku kwenye makazi sisi wenyewe ni tatizo, nikinunua subwoofer nataka mtaa mzima wanitambue. Si nyumba za kupanga wala binafsi wote kelele.

Ingekua Wenyeviti wa Mitaa wamepewa semina ya madhara ya kelele kiafya wangesaidia kudhibiti, ila sasa Mwenyekiti anamuogopa mpiga kura!!
 
Tatizo ni mfumo, kibali anatoa BASATA, mgogoro anatupiwa NEMC. NEMC akienda kuwajibisha anakuta kibali cha BASATA!!!

BASATA anatoa kibali bila kwenda kuangalia sight. Anatoa kibali Grade 'A' wakati aliepewa kibali hana ukumbi wenye sound proof!!
Ebwana eeh
 
Huku kwenye makazi sisi wenyewe ni tatizo, nikinunua subwoofer nataka mtaa mzima wanitambue. Si nyumba za kupanga wala binafsi wote kelele.

Ingekua Wenyeviti wa Mitaa wamepewa semina ya madhara ya kelele kiafya wangesaidia kudhibiti, ila sasa Mwenyekiti anamuogopa mpiga kura!!
Ushamba na ukosefu wa hekima
 
Majibu ya NEMC
Screenshot_20230425-122352.png
 
Nafaham upo ugumu mkubwa wa kushughulika na watu wanaoamini KERO ni haki yao!

Yaani kuna watu wanajimilikisha haki ya kuwakera wengine!
Na wanaoamini wako sahihi!

Zamani kukuta spika ya disco kanisani ilikuwa HAKUNA! Na watu waliogopa kucheza sebene kanisani lakini hivi Leo ni kawaida sana!

Miziki mikubwa kwenye bar, makanisa na misikiti imekuwa kawaida na wanaamini ni HAKI YAO!

NEMC FANYENI HIVI KUONDOA TATIZO!
1. Wekeni viwango elekezi vya decibel's ya chombo cha mziki kwa kuzingatia uwiano wa chumba/jengo (Volume ratio) ya chumba na muwape vibari!

Fomu za vibari NEMC zijazwe kupitia serikali ya mtaa na mtendaji wa mtaa (hii itakuwa bure kwa vyombo vyote vidogo vya mziki mfano! Koni spika, na vinanda vidogo (piano)

2. Spika zote kubwa kuanzia decibels elekezi mtakazopanga na kuendelea kutokana na uwiano wa jengo.
Hakikisheni Zinapatiwa kibali maalum kutoka NEMC

MFANO! spika moja kubwa kwa mwaka ilipiwe 10MIL na hakikisheni nakala ya stika ya vibari vyenu vinabandikwa inje ya jengo husika
Vikionesha tarehe, muda wa matumizi, na ukomo!
(Hakikisheni na mkague vibari vyenu VALID kama vimebandikwa inje)

Asilimia 30% ya malipo wapeni mtaa husika kwa maendeleo ya mtaa!

HAKIKISHENI HAKUNA MTU ANAYETUMIA SPIKA KUBWA YENYE DECIBEL'S kinyume na kiwango elekezi pasipo USAJILI!

NA MJIPAMBANUE KWAMBA HAMUWAKATAZI KUTUMIA BALI MNAWASAJILI NA KUWAPA MATUMIZI ELEKEZI! Anaeshindwa aaache!

Nahilo lifanyike kitaifa!

Na hizi ndo ajira zenyewe! Kuondoa kero ni fursa ya pesa kwa serikali na ni ajira kwa vijana!
Wazo Zuri sana, maana makelele yamezidi Sana baadhi ya maeneo. Unakuta mtu kaanzisha kabisa katikati ya makazi ya watu. Wakati serikali imetenga maeneo ya taasisi mbalimbali kila sehemu. Sasa wakianza miziki unatamani umeme ukatike ili makerere yasiwepo.
 
Inauma sana
 
KKY = Kama Kawaida Yao

NEMC atamtupia lawama Kamati ya Mazingira, Kamati itasema Mtendaji wa Kata hana habari, Mtendaji atasema subiri ziara ya Mkuu wa Wilaya, akifika Mkuu wa Wilaya atamuuliza mjumbe kutoka NEMC mbele ya mkutano wa hadhara, atajibu kuwa hapewi ushirikiano na vyombo vya ulinzi kwani wakienda sight kuzuia kelele lazima waende nao na alikuta mwekezaji ana kibali cha BASATA! Mkuu wa Wilaya ataahidi kulishughulikia. mwezi, mwaka, miaka kero itakuwa palepale.

Ikumbukwe huyo anaefanya kero ya kelele kila mara wajumbe wa kata wanaendea michango mbalimbali kwani anatambulika kama mwekezaji!! na huyo yeye utakuta ni msimamizi wa uwekezaji wa mtu mkubwa tu aliyeko katika muhimili ambao wananchi wanaenda kudai haki hiyo!!
 
Nafaham upo ugumu mkubwa wa kushughulika na watu wanaoamini KERO ni haki yao!

Yaani kuna watu wanajimilikisha haki ya kuwakera wengine!
Na wanaoamini wako sahihi!

Zamani kukuta spika ya disco kanisani ilikuwa HAKUNA! Na watu waliogopa kucheza sebene kanisani lakini hivi Leo ni kawaida sana!

Miziki mikubwa kwenye bar, makanisa na misikiti imekuwa kawaida na wanaamini ni HAKI YAO!

NEMC FANYENI HIVI KUONDOA TATIZO!
1. Wekeni viwango elekezi vya decibel's ya chombo cha mziki kwa kuzingatia uwiano wa chumba/jengo (Volume ratio) ya chumba na muwape vibari!

Fomu za vibari NEMC zijazwe kupitia serikali ya mtaa na mtendaji wa mtaa (hii itakuwa bure kwa vyombo vyote vidogo vya mziki mfano! Koni spika, na vinanda vidogo (piano)

2. Spika zote kubwa kuanzia decibels elekezi mtakazopanga na kuendelea kutokana na uwiano wa jengo.
Hakikisheni Zinapatiwa kibali maalum kutoka NEMC

MFANO! spika moja kubwa kwa mwaka ilipiwe 10MIL na hakikisheni nakala ya stika ya vibari vyenu vinabandikwa inje ya jengo husika
Vikionesha tarehe, muda wa matumizi, na ukomo!
(Hakikisheni na mkague vibari vyenu VALID kama vimebandikwa inje)

Asilimia 30% ya malipo wapeni mtaa husika kwa maendeleo ya mtaa!

HAKIKISHENI HAKUNA MTU ANAYETUMIA SPIKA KUBWA YENYE DECIBEL'S kinyume na kiwango elekezi pasipo USAJILI!

NA MJIPAMBANUE KWAMBA HAMUWAKATAZI KUTUMIA BALI MNAWASAJILI NA KUWAPA MATUMIZI ELEKEZI! Anaeshindwa aaache!

Nahilo lifanyike kitaifa!

Na hizi ndo ajira zenyewe! Kuondoa kero ni fursa ya pesa kwa serikali na ni ajira kwa vijana!
Naunga mkono hoja. Hapa ukonga Mazizini kuna kabaa flani khapa kwa Temba. Sasa Hawa jamaa Kila siku ikifika saa 5 usiku watapiga mziki mkubwa Hadi saa 11 alfajiri.Haya Mambo yamefanyika mwaka mzima Sasa utadhani hakuna serikalii ya mtaa lakini wapo na wanaona yanayofanyika
 
Nazan ungetafta na kujua ni kodi na reseni/ vibari vingAp wamiliki wa ma bar na club za mziki wanalipa na ni jinsi gan watarudisha pesa zao. mrundikano wa kodi/ reseni walizonazo

Kuna kodi za TRA izo nazan unazijua
Kuna kodi na leseni za manispa\ jiji
Kuna resen ya kupiga mzki wanalipa
Kuna resen ya vileo/ vilevi
Kuna fire
Kuna mirabaha ya basata pia wanalipa
nk,
Izo ni baadhi tu ya resen na kodi wanazitakiwa kulipa wamiliki wa bar na club
Kabla ya kuraumu wafanyabiashara nazan kuna haja ya kuongea na serikal ipunguze mrundikano wa resen kodi na vibari vya kuendesha biashara tofauti na apo itakua ni ngumu sabu kodi na resen ni nying sana unategemea wamiliki wa mabar na club watafanyaje ili kuweza kurudisha garama zao
Reseni kodi na vibali ni ving sana inatakiwa vipunguzwe
Nakwa dunia ya leo kla mtu anaangalia upande wake ww ukishindwa kulala kisa kelele za miziki ilo ni ttzo lako sio la mmiliki wa bar wala club,

Kwa upande wa makanisa na misikiti uko siwez kuongelea japo nao pia wanapiga miziki na matangazo wanatangaza
 
Ndo hivyo mkuu yaan kuna mtu yupo tayari kupigana kutetea haki yake ya kukera wengine

Ndo ilivyo aisee km ulikua ujui bas leo tambu ilo kla mtu anatetea upande wake sabu humpi pesa ya kula husomeshei watoto humpi pesa ya matumizi yake binafsi sasa unatakaje afanye vle ww unataka
 
Wazo Zuri sana, maana makelele yamezidi Sana baadhi ya maeneo. Unakuta mtu kaanzisha kabisa katikati ya makazi ya watu. Wakati serikali imetenga maeneo ya taasisi mbalimbali kila sehemu. Sasa wakianza miziki unatamani umeme ukatike ili makerere yasiwepo.
Mwaka jana nilikuwa Dodoma kwa siku 6.

Maeneo kama bistro, la patrona, stl stela, bambalaga, makanisa uchwara ya uchochoroni ni shida tupu.

Sijui watu wanaishije. Full kelele usiku mzima mjini.

NEMC saidieni watu wanaumia sana.
 
Halafu ikulu wao hawataki hata upige honi bahati mbaya
 
Nafaham upo ugumu mkubwa wa kushughulika na watu wanaoamini KERO ni haki yao!

Yaani kuna watu wanajimilikisha haki ya kuwakera wengine!
Na wanaoamini wako sahihi!

Zamani kukuta spika ya disco kanisani ilikuwa HAKUNA! Na watu waliogopa kucheza sebene kanisani lakini hivi Leo ni kawaida sana!

Miziki mikubwa kwenye bar, makanisa na misikiti imekuwa kawaida na wanaamini ni HAKI YAO!

NEMC FANYENI HIVI KUONDOA TATIZO!
1. Wekeni viwango elekezi vya decibel's ya chombo cha mziki kwa kuzingatia uwiano wa chumba/jengo (Volume ratio) ya chumba na muwape vibari!

Fomu za vibari NEMC zijazwe kupitia serikali ya mtaa na mtendaji wa mtaa (hii itakuwa bure kwa vyombo vyote vidogo vya mziki mfano! Koni spika, na vinanda vidogo (piano)

2. Spika zote kubwa kuanzia decibels elekezi mtakazopanga na kuendelea kutokana na uwiano wa jengo.
Hakikisheni Zinapatiwa kibali maalum kutoka NEMC

MFANO! spika moja kubwa kwa mwaka ilipiwe 10MIL na hakikisheni nakala ya stika ya vibari vyenu vinabandikwa inje ya jengo husika
Vikionesha tarehe, muda wa matumizi, na ukomo!
(Hakikisheni na mkague vibari vyenu VALID kama vimebandikwa inje)

Asilimia 30% ya malipo wapeni mtaa husika kwa maendeleo ya mtaa!

HAKIKISHENI HAKUNA MTU ANAYETUMIA SPIKA KUBWA YENYE DECIBEL'S kinyume na kiwango elekezi pasipo USAJILI!

NA MJIPAMBANUE KWAMBA HAMUWAKATAZI KUTUMIA BALI MNAWASAJILI NA KUWAPA MATUMIZI ELEKEZI! Anaeshindwa aaache!

Nahilo lifanyike kitaifa!

Na hizi ndo ajira zenyewe! Kuondoa kero ni fursa ya pesa kwa serikali na ni ajira kwa vijana!

Huo utaratibu labda Norway
 
Back
Top Bottom