Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

Hawashindwi kabisa mkuu. Ila tatizo kubwa ni kuwa baadhi ya wenye makanisa washaanza kuingia bungeni, wenye bar na clubs ndio haohao wapitisha sheria. Kuna kazi nzito hapo ya kuamua mkuu.
 
Hawashindwi kabisa mkuu. Ila tatizo kubwa ni kuwa baadhi ya wenye makanisa washaanza kuingia bungeni, wenye bar na clubs ndio haohao wapitisha sheria. Kuna kazi nzito hapo ya kuamua mkuu.
Duh basi kazi ipo
 
Chako ni chako walizidi sana makelele nashauri NEMC waongeze vibano zaidi
 
Nikimsikia mtu analalamika NEMC kutoza faini namshangaaa ...Naomba NEMC MKAMUE kweli kweli hao wapiga kelele walianza tangu utoto kupiga kelele! Na sasa wamekuwa watu wazima wanatusumbua na mikelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…