Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

DUH!!! Kwa raha zipi za kuongeza Mikoa na Wilaya hivyo...
Kuna haja ya kupunguza Mikoa na Wilaya na kupunguza ukubwa wa Serikali pia..
Watu wanataka nafasi za ukuu wa wilaya na kuongezeka kwa idadi ya majimbo ya ubunge ili kila chawa aliyefuzu apewe zawadi yake
 
Kuongeza mikoa na wilaya mara kwa mara ni jambo lisilo na tija.
 
sawa amekosea.ila wazo lake.ni zuri
 
Asipo kuelewa hapa atakua na tatizo,ila watu wengi wakisikia halmashauri ya wilaya fulan ,wanajua ni wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…