AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
- Thread starter
-
- #21
ni dhahiri kuwa nchi nyingi za africa na baadi nje ya africa,asilimia kubwa ya watu hutumia mda mwingi kuangalia television,kusoma magazeti ya udaku,na mambo yasiyo yamsingi.pia mimi nilishakuwa na tabia hiyo wakati nikiwa kidato cha pili,lakini baada ya kuona hayana msingi sana ,basi nkaanza kuwa na utaratibu wa kujisomea vitabu vya ziada na kupata kujua mengi kwa kadiri nilivyoweza kupata maarifa kwenye vitabu hivyo,sasa ni mda wa kuyafanyia kazi yale niliyo jifunza,nabado naendelea kujifunza kila siku.Pamoja na kwamba nakubaliana na wewe katika mambo mengi kuhusu hoja yako, naomba pia kukumbusha kuwa siyo masikini tu wanaopenda udaku na umbeya. Ndiyo maana hata hao unaowasifia wamebobea katika udaku na umbeya.
You're very right. I like reading, though sometimes i find it like am doing too much. I remember in those old days when I wasn't able to have a book of my own, then i'd pick up any piece of paper I may become across with even when walking along the dirty street! I'd pick it up and find out what's written...and you know what? true, know what to read because it's this kind of picking anything and read that made me to be a great fan of Arsenal though at least, am among of the few who can answer why they became Man U fans, or Arsenal Fans and so on! But even more important, I like reading contradicting ideologies; and in fact, sometimes the one that's different from what I believe!Yes kusoma ni muhimu sana haina mjadala!!!!
Ila nini unasoma ndio tofauti huanzia hapo!!!!
Waandishi wamegawanyika "mental window na ideological inclination" ya muandishi zinawafanya waandike mambo fulani kwa nia fulani!!!
Upotoshaji upo,kuficha uhalisia wa mambo na hata de railing ipo sana kwenye uandishi so tuwe makini sababu wenzetu wanajua kuwa ukidumaza/ kuyumbisha akili ya msomaji basi kumtawala ni rahisi sana!!!!!
Lakini pia kujua haya ni lazima uwe msomaji na mlinganishaji pia!!
Waone pia Dark City, NasDaz, Activister gfsonwin, The Boss, King'asti, Pasco, venine, Mbeky, watu8
You're very right. I like reading, though sometimes i find it like am doing too much. I remember in those old days when I wasn't able to have a book of my own, then i'd pick up any piece of paper I may become across with even when walking along the dirty street! I'd pick it up and find out what's written...and you know what? true, know what to read because it's this kind of picking anything and read that made me to be a great fan of Arsenal though at least, am among of the few who can answer why they became Man U fans, or Arsenal Fans and so on! But even more important, I like reading contradicting ideologies; and in fact, sometimes the one that's different from what I believe!
kusoma ni muhimu.ila inategemea na nini unasoma. it is not enough to read, but read something that is worth reading. Vitabu vizuri vinapanua uelewa na jinsi ya kufikiri, vinajenga concentration (hii ni muhimu sana especially kwa watoto).
Ila utamaduni wa kujisomea vitabu huwa unajengwa, hauji ghafla. wengi wa watu wanaopenda kujisomea wametokea kwenye families ambazo usomaji unapewa umuhimu/ kipaumbele. ndio maana wazungu wanawasomea vitabu wtt wao tokea wakiwa wadogo, wanawanunulia story books
kuna umuhimu wa kuwajengea wtt wetu utamaduni wa kusoma vitabu, mtoto anayependa kusoma anakuwa na uwezo mkubwa wa ku-concetrate hata kwenye masomo (sio ya lugha na history tu, masomo yote). so, hata unapomnunulia mtt kitabu, jaribu kutafuta kile ambacho kita-stretch imaginations zake, kitamfanya aweze ku-connect anayosoma na real life anayoishi, na hata wanayoishi wengine
Kidato cha pili ni balaa kwa asilimia kubwa ya wanafunzi maana ndio baleh zone." Anyone who stops learning is old, whether at twenty or eighty. Anyone who keeps learning stays young. The greatest thing in life is to keep your mind young.Henry Ford"
ni dhahiri kuwa nchi nyingi za africa na baadi nje ya africa,asilimia kubwa ya watu hutumia mda mwingi kuangalia television,kusoma magazeti ya udaku,na mambo yasiyo yamsingi.pia mimi nilishakuwa na tabia hiyo wakati nikiwa kidato cha pili,lakini baada ya kuona hayana msingi sana ,basi nkaanza kuwa na utaratibu wa kujisomea vitabu vya ziada na kupata kujua mengi kwa kadiri nilivyoweza kupata maarifa kwenye vitabu hivyo,sasa ni mda wa kuyafanyia kazi yale niliyo jifunza,nabado naendelea kujifunza kila siku.
ukitaka kumfichia mtu mweusi hela weka kwenye kitabu...
sio lazima kusoma vitabu, hata movies pia zinaweza kukontein vitu vilivyoandikwa kwenye vitabu ukizingatia vyote ni kazi ya sanaa
so interest ndo inamfanya mtu achague kati ya movies na vitabu, usilazimishe......
kwanza sio lengo langu kutukana, pili upumbavu ni upumbavu hata kama umesababishwa na kutoenda shule sababu wazazi walikuwa hawana uwezo. yaani hakuna sababu nzuri ya kufanya upumbavu usiwe upumbavu.ujumbe mzuri ila umekosea pale ulipojiona bora sana ukaita wengine "pumbavu" ukasahau kuwa wewe unapenda kusoma kwa sababu mama yako alikupa hiyo fursa kwa kuleta vitabu nyumbani. Pengine hawa "wapumbavu" mama zao walikuwa wakijaza kanda za kwaya kama mama yangu. Matokeo yake na mimi nimejikuta napenda kuimba na mtoto wangu nampeleka kwaya ya watoto!
na vitu vya kuona, kusikia na kusoma hutafsiriwa katika sehemu tofauti ubongoni. ni kazi ngumu kimoja kuwa mbadala wa kingine. huwezi sema badala kusikiliza wimbo ngoja niusome!.Imethibitika vitabu ni bora zaidi, maana inaruhusu akili kujenga taswira yake yenyewe, movie zinalazimisha taswira, na pia hujenga memory na uvumilivu, achana kabisa kuwazoesha watoto movie na TV, atakuwa kopo na kuzoea ku flip flip , no concentration at all
Imethibitika vitabu ni bora zaidi, maana inaruhusu akili kujenga taswira yake yenyewe, movie zinalazimisha taswira, na pia hujenga memory na uvumilivu, achana kabisa kuwazoesha watoto movie na TV, atakuwa kopo na kuzoea ku flip flip , no concentration at all
Imethibitika vitabu ni bora zaidi, maana inaruhusu akili kujenga taswira yake yenyewe, movie zinalazimisha taswira, na pia hujenga memory na uvumilivu, achana kabisa kuwazoesha watoto movie na TV, atakuwa kopo na kuzoea ku flip flip , no concentration at all
inategemea na mtoto wako na movies anazoangalia, kuna nyingine zina mpa courage, kujiamini na zinamfanya mtoto awe na ndoto, hata movies ni bora pia
Weak...!
hatujasema movie ni mbaya cha muhimu ni kuwa balanced. huwezi kujaza DVD kwenye kabati na nyumbani huna hata vitabu vitatu!. watoto watakuwa mbumbumbuinategemea na mtoto wako na movies anazoangalia, kuna nyingine zina mpa courage, kujiamini na zinamfanya mtoto awe na ndoto, hata movies ni bora pia
hatujasema movie ni mbaya cha muhimu ni kuwa balanced. huwezi kujaza DVD kwenye kabati na nyumbani huna hata vitabu vitatu!. watoto watakuwa mbumbumbu