Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu, Subaru yangu ya pili ilikuwa SG Turbo(2004-2008), hii inanyanyasa na ni hatari.Mkuu kwenye sofa za Subaru sina ubishi hata kidogo hata Mimi mwenyewe kipindi naagiza rumion nilikosa pesa ya kuongezeka nikaona Bora nichukue rumion ingawa matamanio yangu ilikuwa forests 2004 - 2007....
Najua Una uzoefu wa kutosha juu ya forester vipi kuhusu performance na handling ipi ina unyama mwingi Kati ya 2004-07 au hizi New model 2008 - 2013
Na bado ninayo ingawaje naiuza sasa.
Ukisikia Subaru imepinduka mara nyingi ni hizi za Turbo.
Take off speed yake ni hatari, na usipokuwa na mkono wa ku control gari itakutupa mtaroni.
SH (2008-2013) ambayo nayo ninayo sasa, haina take off speed kali lakini baada ya 120km/hr nayo valve zinazibuka, kufika 150 hadi 160km/hr, nayo inanyanyasa.
Ni gari nyepesi na very maneuverable.
Ina nafasi kubwa zaidi ndani na ni comfortable.
Ila niseme ukweli tu kuwa coolant tank yake inaweza pasuka.
Bahati yangu ilipasuka nikiwa mjini.