DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Kuna voxywagen ya mdada ilikua inauzwa milioni 2.5 anasema inatoa moshi mwingi sanaTusijekutana kwa Sossy Magari tu, Volvo ya mdada lakini haiwaki bei mil. 3 tu 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna voxywagen ya mdada ilikua inauzwa milioni 2.5 anasema inatoa moshi mwingi sanaTusijekutana kwa Sossy Magari tu, Volvo ya mdada lakini haiwaki bei mil. 3 tu 🤣🤣🤣
Hahahahahah kweli bana, huenda anaendesha Passo.Niliendesha Volkswagen touareg nilinote tofauti kubwa na gari yangu. Huyo mwamba uliemkoti usikute anamiliki chuma zenye standard ya chini.
Volkswagen Tuareg ni habari nyingine ile gari. Ni mashine haswaaaNiliendesha Volkswagen touareg nilinote tofauti kubwa na gari yangu. Huyo mwamba uliemkoti usikute anamiliki chuma zenye standard ya chini.
Wabongo Sisi ni tofauti kabisaa na majirani zetu.Nairobi naona watata sana utadhani wao ndio wana eneo la Bandari kubwa kuliko sisi pana uchafu wa parts aina yeyote pale na pia wao kama Wamalawi tuu wanaburuza ndinga yeyote...aisee nimegundua sisi kweli wavimba macho na hii kodi iliyochangamka itatuua...
Magari yanayoulizwa hapa hapo Nairobi utayakuta mengine ndio wanakata kutoa parts huku Tanzania tukiambiana hii ndio new model...Wabongo Sisi ni tofauti kabisaa na majirani zetu.
Toyota wametuloga kuanzia serikalini Hadi mtaani
Hizo gari zote spea ni kasheshe kama ela IPO chukua Subaru Achana na BMW itakusumbua Tu [emoji16]
Kama pesa ya madafu chukua IST .Alex. runx. vits
Njee ya mada
Kati ya BMW 1 series na subaru impreza hipi ni nzuri kwa matumizi ya mtanzania wa kipato cha kawaida
Gari ni spare, ukiweza funga genuine parts zake kwawakati husika. Hakika hakuna chuma chakijapani wala chakizungu
Mkuu? Una mfahamu mtaalamu yeyote wa kuondoa DPF hapa Tz? Mimi nipo Dsm. AsanteDiesel tu ndo zina hizi shida. Za petrol hazina haja ya kufanya hivi. Petrol engines za 2.0 hazina power sana but economical, na za 2.5 zina power ila zinakunywa kidogo (kama unajali ulaji mafuta)
Advantage kubwa ya engine za diesel ni balance ya nguvu na consumption ya mafuta
Kuna jamaa naona adverts instagram anaitwa amur_auto_electronics anafanya hizo kaziMkuu? Una mfahamu mtaalamu yeyote wa kuondoa DPF hapa Tz? Mimi nipo Dsm. Asante
Yupo pale mliman city mwamba sanaMkuu? Una mfahamu mtaalamu yeyote wa kuondoa DPF hapa Tz? Mimi nipo Dsm. Asante
Mimi nimekuwa na Subaru Forester series tatu.Akili ambayo BMW wanatumia kwenye engine sio za kawaida, hapa iwe Toyota au Subaru forester hawawezi kufurukuta Kwa Nyanja zote
Mkuu kwenye sofa za Subaru sina ubishi hata kidogo hata Mimi mwenyewe kipindi naagiza rumion nilikosa pesa ya kuongezeka nikaona Bora nichukue rumion ingawa matamanio yangu ilikuwa forests 2004 - 2007....Mimi nimekuwa na Subaru series tatu.
Kuanzia SG, SH hadi sasa SF, hizi i gari madhubuti sana.
Engine hazijawahi kusumbua, na hii nii almark ya engine za kijaan.
Na engine za Subaru ni rotary engines maana kihistoria waliotengeneza engine hizi walikuwa wanatengeneza engine za ndege.
Nipepiga long trip , latest mwezi uliopita mkoani 1000km(2000km return), Subaru unanyanyasa tu.
Tatizo ninaloliona ziko nyepesi, hivyo weka mzigo wa si chini ya kilo 100.