Ushauri: Nichague ipi kati ya BMW X3 2013 au Subaru Forester 2013

Ushauri: Nichague ipi kati ya BMW X3 2013 au Subaru Forester 2013

Hili la kuangalia mtaani sikubaliani nalo kabisa….maana kusema ukweli sisi wabongo tunaigana sana….watu tuna nunua magari kwa kuiga tu na si kingine….ndio maana subaru xt nyingi mtaani,harrier,vangard nk kwa kuwa tunaiga iga na waoga wa maisha.
Kwa hisani ya bwana Extrovert naomba niunge mkono hoja hii[emoji23][emoji23]

Wabongo tunaigana sana jamani eee kuna vyuma zaidi ya vile tunanunua kwa kuigana.
 
3.0 consumption ni kubwa (petrol) pengine ni bora hata x5 zile za 2007-2009.
Naziona nyingi hizi 2.0, kama hutojali tatizo lake ni nini hasa?
Ukiwa na hela zetu izi za kutafuta kwa jasho, achana na BMW yenye umri zaidi ya miaka 10.

Ukicheki online Japan unakuta BMW yenye mwaka mmoja/sawa na Toyota IST, hafu IST inauzwa gharama zaidi ya BMW.

WHY?

RUNNING COSTS MZEE.
 
Do what you feel comfortable by your own intuition.


Ila fuata ushauri wa watalaamu ambao Ni mechanical Engineers ,ama fundi gereji wakubwa wanafanya kazi kitalaamu,chukua sample Kama tano ama kumi baadaye average Basi unapata precision experimental data ufanye conclusion about durability, quality, affordability, management, services, repairs,spares,oil consumption, mechanical strength in case of head on collusion, horse power, endurance to work long than other.

Nimeshauri kiuchumi na kisayansi na na hesabu Nimetumia branch ya probability

Hahah you can always tell if someone is smart
 
Ukiona 320i ujue ina cc 1990 kwahiyo ni 4 cylinders inline.

Hapo anzia 323i, 325i, 328i (kama utaipata hizi adimu) izo zote zina cc 2500 na uyo 328i na mwenzie 330i wana cc3000.

Hao wazee ni 6 cylinder N52 na N54 na N55 (turbo) vyunguvya Mjerumani wa Munich.
Cc2500 diesel au petrol
 
Back
Top Bottom