Njia ya muongo ni fupi, ogopa Mungu na technology
Huezi jua mkuu labda kwake miezi 3 ni mwaka.
Hawa ndo wanaofanya jf ionekane uongo ni mwingi na hata wanaotaka ushauri kiukwelikweli waonekane waongo na wapigaji au wanajitengenezea mazingira.Huyu mbona kama wana genes za ukichaa siyo wa kumwamini.
Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu. Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga...www.jamiiforums.com Kwa hii aibu niliyopata, naenda kujifunza Kiingereza
Muonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa. Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha...www.jamiiforums.com
Kwanza story yako ni uongo kutokana na post zako sa zamani.Habari za mida? Mimi ni Daktari ,doctor of medicine nina umri wa miaka 28yrs nimejiajiri nina pharmacy moja na maabara moja na nipo mbioni kufungua dispensary na pharmacy nyingine faida ninayopata kwa siku wastani ni laki 5, hapa kati imetokea changamoto mzee aliniambia niandae CV zangu ana rafiki yake jeshini yupo ngazi za juu kabisa amesema anataka vyeti.. haraka tu natinga gwanda za mabaka.
Mzee nilimkatalia nikamwqmbia hapana siwezi kuingia jeshi sababu ya kwanza faida ninayopata kwa mwezi ni mara *6 ya mshaara wa jeshi, pili nipo huru sana na biashara zangu ninaweza kufanya chochote bila shuruti ya mtu,tatu naifurahi kazi yangu.
Mzee amekuja na sababu zake kwanza amesema kwa nchi kama tanzania biashara hazitabiriki hakuna sera nzuri kwa wafanyabiashara akatoa mfano yeye biashara zake zilivyofungwa na TRA, pili jeshini kuna security kubwa iwe kuumwa au laah lakini mshahara upo pale pale tofauti na kujiajiri ukiumwa tu ukipatwa na majanga biashara lazima itetereke, tatu ni heshima,nne unakuwa na uhakika wa maisha hata biashara zangu zikiyumba basi ajira itanipa back up.
NB: Mwisho kabisa amesema niende jeshini uku nikiendelea kusimamia biashara zangu.
Naombe ushauri wenu niende jeshi huku nikiendelea na biashara zangu au nitulie na biashara zangu niachane na jeshi?
ππ Kweli kabisa mkuu, story za hivi nazichukiaga Sana zinawaletea vijana wengine mpk depression wanajiuliza wao walikosea wapi mbona wenzao Maisha Yao Ni mtelezo tu,kumbe mtoa story mwenyewe Ni muongo muongo tu.Njia ya muongo ni fupi, ogopa Mungu na technology
πππ Naona hapo Tena Pharmacy ya mama mkwe,aiseeeHuezi jua mkuu labda kwake miezi 3 ni mwaka.
Hawa ndo wanaofanya jf ionekane uongo ni mwingi na hata wanaotaka ushauri kiukwelikweli waonekane waongo na wapigaji au wanajitengenezea mazingira.
Halafu kumbe ni ya mama mkwe, mwambieni tu aende jeshiHapa naona ame-exagerate laki tano kila siku!!?
Motivational speakers mtawaua vijana na pressure.Kawaida boss nilianza na duka la dawa tangu nikiwa mwaka wa kwanza muhimbili nipo internship nikafungua pharmacy.
Angeongea ukweli labda angeshaurika, ila yeye anajifanya ana pesa.πππ Naona hapo Tena Pharmacy ya mama mkwe,aiseee
πππ Naona hapo Tena Pharmacy ya mama mkwe,aiseee
ππHalafu kumbe ni ya mama mkwe, mwambieni tu aende jeshi
πππ wenye pharmacy zao walikua wameanza kujiuliza wanakosea wapi wkt mwenzao anatengeneza faida ya laki 5 kwa siku?Angeongea ukweli labda angeshaurika, ila yeye anajifanya ana pesa.
Hivi kwa akili ya kawaida kweli unapiga laki 5 kwa siku faida tu, utawaza kutembezwa kwenye tope kwelii???
Hahaha mwaka jana biashara zilikuwa za wazazi na hawakutaka aajiriwe
Mi mwenyewe wakati nasoma nikajikuta ninapata kawivu tu aisee. π€£Motivational speakers mtawaua vijana na pressure.
Kwanza jamaa ana story za uongo utadhani ana undugu na kina dangote wa tandaleMnamwambia asiende jeshi mnataka tulindwe na nani jamani!!
Japo hata mimi sikushauri kwenda jeshi.