Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Wakuu habari, niliomba kazi taasisi flani ya umma (utumishi) sikupata nafasi jina langu likahifadhiwa kwenye database juzi kati kuna mkeka wa kuitwa kazini umetoka na jina langu likiwemo kwenye kazi za halmashauri. Ila kwa sasa kuna taasisi binafsi nafanya kazi ambayo nalipwa vizuri sana nimefuatilia mshahara wa hapa ni zaidi ya mara mbili ya mshahara huo wa serikalini na haki nyengine zote za mwajiriwa napata kama bima n.k ila changamoto ya hapa private mkataba wao ni wa miaka 3 ila unarenew kila mkataba unapoisha hawana shida.

Serikalini nimepangiwa Tabora na mimi makazi yangu miaka yote ni Dar sasa nikienda huko naenda kuanza moja.

Nilifikiria kutoenda huko ila kuna mtu kaniambia nisipoenda utumishi jina langu litakuwa blacklisted na sitopata tena nafasi nyengine ya kuingia serikalini maisha yangu yote.

Kuna ukweli wowote juu ya hili au nifanye nini wakuu I'm so confused nakosa usingizi kabisa.
 
Wakuu habari, niliomba kazi taasisi flani ya umma (utumishi) sikupata nafasi jina langu likahifadhiwa kwenye database juzi kati kuna mkeka wa kuitwa kazini umetoka na jina langu likiwemo kwenye kazi za halmashauri. ila kwa sasa kuna taasisi binafsi nafanya kazi ambayo nalipwa vizuri sana nimefuatilia mshahara wa hapa ni zaidi ya mara mbili ya mshahara huo wa serikalini na haki nyengine zote za mwajiriwa napata kama bima n.k ila changamoto ya hapa private mkataba wao ni wa miaka 3 ila unarenew kila mkataba unapoisha hawana shida. Serikalini nimepangiwa Tabora na mimi makazi yangu miaka yote ni Dar sasa nikienda huko naenda kuanza moja. Nilifikiria kutoenda huko ila kuna mtu kaniambia nisipoenda utumishi jina langu litakuwa blacklisted na sitopata tena nafasi nyengine ya kuingia serikalini maisha yangu yote. Kuna ukweli wowote juu ya hili au nifanye nini wakuu I'm so confused nakosa usingizi kabisa.
Serikalin kama unataka job security, mafanikio ya chap private but comptetition is high and hob security iko low
 
Nini lengo lako katika maisha.
Kama unaona malengo yako yatafanikiwa/yatafikiwa ukiwa sector binafsi baki huko huko.
Halmashauri kuna raha na tabu zake! Tabu ni nyingi zaidi. Bila shaka umeshasoma kero kibao za wananzengo wakilalama humu. Labda kama una lengo la kupata cheki namba then uhamie serikali kuu kitu ambacho sio rahisi kana ninavyoandika.
Bwana eeee baki ulipo. kuwa na nidhamu kazini, simamia malengo yako.
 
Wacha kutishwa kama katoto kadogo wewe yaani ukiambiwa hautakuja kufanya kazi serikalini unaogoopa kwani umezaliwa kufanya kazi serikalini? Kutangatanga sio kuzuri baki ulipo na utengeneze mambo yako vizuri na huo mshahara wako wa mara 2 ya wa halmashauri
 
2in1 Counsel kwa huu wasi wasi ulionao nenda zako tu halmashauri. Uzuri huko hakuna kazi nyingi sana wewe ni kumshauri tu mkurugenzi na madili yako ni kucertify hivyo vyeti vya watumishi na kugonga mikataba ya mikopo.

Kwa namna uko na wasi wasi nenda tu Counsel
 
Nenda serikalini, jiendeleze kielemu, tafuta nafasi za juu zaidi. Usiogope kubadilishwa badilishwa mikoa. Piga kazi, pata exposure ya wakubwa ndani ya serikali.
Ila ukiamua kubaki private kama unaona kuna maslahi ni sawa tu.
 
Wakuu habari, niliomba kazi taasisi flani ya umma (utumishi) sikupata nafasi jina langu likahifadhiwa kwenye database juzi kati kuna mkeka wa kuitwa kazini umetoka na jina langu likiwemo kwenye kazi za halmashauri. ila kwa sasa kuna taasisi binafsi nafanya kazi ambayo nalipwa vizuri sana nimefuatilia mshahara wa hapa ni zaidi ya mara mbili ya mshahara huo wa serikalini na haki nyengine zote za mwajiriwa napata kama bima n.k ila changamoto ya hapa private mkataba wao ni wa miaka 3 ila unarenew kila mkataba unapoisha hawana shida. Serikalini nimepangiwa Tabora na mimi makazi yangu miaka yote ni Dar sasa nikienda huko naenda kuanza moja. Nilifikiria kutoenda huko ila kuna mtu kaniambia nisipoenda utumishi jina langu litakuwa blacklisted na sitopata tena nafasi nyengine ya kuingia serikalini maisha yangu yote. Kuna ukweli wowote juu ya hili au nifanye nini wakuu I'm so confused nakosa usingizi kabisa.
Bwana 2in1 heri kwako.
Jitathmini, nini hasa malengo ya maisha yako!
Hujasema hapo ulipo umesha renew mkataba mara ngapi na uwezekano wa kuendelea ku renew upoje.
Serikalini kuna job security ingawa malipo ni kidogo, inapaswa uwe na akili ya ziada above kuvalishwa vitenge vya mwenge.
Nimeshakutana na waajiriwa wa serikalini lakini pia wanatumia nafasi zao kukuza network (and eventually) biashara zao. Kumbuka issues nyingi mfano businesses na Projects zinaanzia/zinapitia serikalini, na ukiwa serikalini unakuwa na access ya taarifa sahihi kuhusu programs/Projects, funders
Waweza kuwa Mwajiriwa na pia ukawa private Consultant, farmer, engineer, trader, NGO owner etc
So waweza kwenda serikalini kwa purposes (1) job security (2) networking
Nakushauri nenda Tabora, Tanzania ni yetu sote.
 
Back
Top Bottom