kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 456
- 833
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au sioChukua Boxer Au TVS Mkuu piga Kazi Ya Bodaboda....! Jifanye Wewe ndio Tajiri hapo hapo Wewe ndo Boda boda mwenyewe.
Ikifika Siku ya Hesabu ... unaichimbia hela yako kwenye Kibubu...
Mkuu mtumba ulikua unafungua balo au una pointkwa ushauri wangu ingia kitaa jichanganye na watu utajua pakuanzia .ila nowdays jamiiforum sijui imekuaje hum utapata mawazo ya uhakika ukiwa na m10...
nilikuw napoint mkuuMkuu mtumba ulikua unafungua balo au una point
Chukua Boxer Au TVS Mkuu piga Kazi Ya Bodaboda....! Jifanye Wewe ndio Tajiri hapo hapo Wewe ndo Boda boda mwenyewe.
Ikifika Siku ya Hesabu ... unaichimbia hela yako kwenye Kibubu.
Ukirudisha mtaji , unanunua Boxer nyingine...unaendelea hivo hivo mpaka Boda boda Zinakua 10. Unaachana na Uboda boda Wewe ndo Unakuwa Tajiri...!
Hujatoboa hapo..?
Nasema Uongo ndugu Zangu?
Idea yako ni ipi kwanza, pia hobbies zako ni zipi?Asalaam wanajamii wenzangu!
.
.
mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani!
.
.
nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
Asante sanakwa ushauri wangu ingia kitaa jichanganye na watu utajua pakuanzia .ila nowdays jamiiforum sijui imekuaje hum utapata mawazo ya uhakika ukiwa na m10.
miaka ya nyuma niliwah kupandisha uzi nikiwa nataka mawazo ya biashara ya kufanya yenye mtaji wa m1 cha ajabu hicho kias kilionekana kidogo sana
maoni yalikuw hivi
=duuu sasa m1 utafanya biashara gan
=m1 labda ubet
=uza matunda
=tembeza karanga
matokeo yake ,niliishika ile m1 nikaiona ndogo mno tena mno,
nikaamua kuingia kitaa kuangalia watu wanavyorun biashara kubwa na ndogo nikatoka na wazo la kuuza viatu vya mitumba,nikapiga piga mtaji ukakua nikafungua mpesa
kwa hyo ndugu ukiwa unakusanya maoni jaribu pia kuzama sehem husika
NB:usiache kupiga story story na wazee wanaofanya biashara,wana njia nying sana za kupata pesa
nawasilisha
nipo mwanzaUpo mkoa Gani?
mm ni mhandisi wa mawasiliano, napenda sana nifanye biashara hizo lkn huo ni mtaji mkubwa sana.. huez anza hata na ofisi tuu kwa hizo pesaIdea yako ni ipi kwanza, pia hobbies zako ni zipi?
Tuanzie hapo
ipoje hiiCheza mchongo pesa ya clouds ukuze mtaji.
asante, nimezisaka sana jombaa, nasitaki nifanye kwa mihemko, nataka nitumie akili kidogo nijue pa kuanziaDah, una 3M kbs? We mbona Ushatoboa.
Iyo M inasimama Kuwakilisha Milioni kbs ? Afu umemaliza chuo...!
Wapo Wanahitaji mtaji Japo 300,000 na Wakipata tu Wanatoboa...!
Jombaa Changamsha Akili japo kidogo.
imekaa kitaalam sana hii asantekwa ushauri wangu ingia kitaa jichanganye na watu utajua pakuanzia .ila nowdays jamiiforum sijui imekuaje hum utapata mawazo ya uhakika ukiwa na m10.