Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

mm ni mhandisi wa mawasiliano, napenda sana nifanye biashara hizo lkn huo ni mtaji mkubwa sana.. huez anza hata na ofisi tuu kwa hizo pesa
Jifunze jinsi wafanyabiashara wa samaki mbichi sangara/sato hapo mwanza wanavyonunua kwa wavuvi direct na wanavyouza kwa suppliers wa mikoani.
Ikikuvutia unaeza ingia mzigoni unaeka vyeti pembeni.
 
Kama ni mgeni na biashara usifanye biashara anza na huduma kama ya chakula na juice au banda la mpira hutojutia ila biashara ina mambo mengi sana na ukizingatia mitaji yenyewe ni ya kudunduliza mi nilifungua banda la mpira ila kwa hyo hela kwa sport centre haitatosha jaribu kitu kingine positive.
 
Asalaam wanajamii wenzangu!
.
.
mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani!
.
.
nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
Njoo kijana mwenzangu kwenye biashara ya mahindi utajutia mkuu.
 
Asalaam wanajamii wenzangu!
.
.
mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani!
.
.
nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
Kama uliweza kutengeneza m3 mtaani komaa mtaani utengeneze tena tatu acha kuanza ishu mpya kama huna backup ya capital
 
Kama ni mgeni na biashara usifanye biashara anza na huduma kama ya chakula na juice au banda la mpira hutojutia ila biashara ina mambo mengi sana na ukizingatia mitaji yenyewe ni ya kudunduliza mi nilifungua banda la mpira ila kwa hyo hela kwa sport centre haitatosha jaribu kitu kingine positive.
Banda lako lipo wapi nije nipate ujuzi
 
Back
Top Bottom