Kama uko eneo ambalo una jina,
Kodi chumba 300,000 -600,000 miezi sita
Nunua desktop ya 250k nunua mamovie mengi anaza kukodisha na kuuza,
2. Nenda mwenge au kariakoo nunua viatu vile vya ngozi kwa 4000
Jaza kwenye frem yako uza
3. Nenda karume alfajiri wakifungua mabaloo yao, chagua raba kali za buku 200-3000 au viatu vya wanawake . Leta nyumbani safisha boresha, panga dukani uza panga bei
Nienda buguruni au mbagala kwa mchina nunua sandals zile kama za yebo yebo kwa 3000+ , nenda kauze 6000+
Za kuambiwa…..!